RONALDO AKIRI MAMBO MAGUMU PREMIER LEAGUE
HomeMichezo

RONALDO AKIRI MAMBO MAGUMU PREMIER LEAGUE

  CRISTIANO Ronaldo, staa wa Klabu ya Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer amekiri kuwa Ligi Kuu England ni ...

 


CRISTIANO Ronaldo, staa wa Klabu ya Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer amekiri kuwa Ligi Kuu England ni ngumu zaidi kutokana na kuwa na kazi ngumu katika mechi ambazo wanacheza.

Septemba 19, Manchester United iliweza kupata ushindi kwa mbinde mbele ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa London jambo lililomfanya staa huyo akiri wazi kuwa muziki wanaokutana  nao sio wa kitoto.

Katika mchezo huo Ronaldo alipachika bao dakika ya 35 na lile la ushindi lilipachikwa dakika ya 89 na Jesse Lingard huku bao pekee la West Ham lilipachikwa dakika ya 30 na Said Benrahma. Pia kipa wa Manchester United alikuwa nyota wa mchezo huo kwa kuwa aliweza kuokoa penalti.

Ronaldo anacheza Premier League msimu huu baada ya kusepa huko miaka 12 iliyopita alicheza La Liga ndani ya Real Madrid pia ameibuka United akitokea Juventus inayoshiriki Serie A ambapo awali dili lake lilikuwa linatajwa kukamilika ndani ya Manchester City kabla ya simu moja ya mabosi wa United kuvuruga mipango.

Nyota huyo amesema:"Kila mechi ya Premier League ni lazima upambane kupata pointi tatu, hii inaonyesha ligi ni ngumu,".


Pia leo Manchester United ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya West Ham United katika Uwanja wa Old Trafford ila utakuwa ni mchezo wa Carabao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RONALDO AKIRI MAMBO MAGUMU PREMIER LEAGUE
RONALDO AKIRI MAMBO MAGUMU PREMIER LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5ZPX8j-FhBUDncV19zuvZMezslD039AY3rShGdmNDRZuuj13W1lobWgTr2YZGDZbeSxNMGb0JJCVEmgWMVlK0x_S35l3Rks1ktz69GRaG2czCaWzjOy1BXggtLqvCoH86buPq4osIDbLh/w540-h640/Screenshot_20210922-055753_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5ZPX8j-FhBUDncV19zuvZMezslD039AY3rShGdmNDRZuuj13W1lobWgTr2YZGDZbeSxNMGb0JJCVEmgWMVlK0x_S35l3Rks1ktz69GRaG2czCaWzjOy1BXggtLqvCoH86buPq4osIDbLh/s72-w540-c-h640/Screenshot_20210922-055753_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-akiri-mambo-magumu-premier.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-akiri-mambo-magumu-premier.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy