YANGA YAHOFIA KUFANYA MAKOSA KWENYE USAJILI, HESABU ZAO HIZI HAPA
HomeMichezo

YANGA YAHOFIA KUFANYA MAKOSA KWENYE USAJILI, HESABU ZAO HIZI HAPA

  UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba makosa ambayo walifanya kwenye masuala ya usajili nyakati za nyuma hayatajirudia kwa kuwa wamejipan...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
ARSENAL: HATUKUSTAHILI KUFUNGWA
TANO BORA YA UTUPIAJI, SIMBA WATAWALA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba makosa ambayo walifanya kwenye masuala ya usajili nyakati za nyuma hayatajirudia kwa kuwa wamejipanga kufanya mambo kwa utofauti.

Miongoni mwa wachezaji ambao walisajiliwa Yanga hivi karibuni ni pamoja na Wazir Junior ambaye amefunga bao moja na hana nafasi kikosi cha kwanza yupo Juma Balinya, Patrick Sibomana na Yikpe Gnamien ambao hawakuweza kufanya vizuri na walisepa kikosini mazima.

Wapo wengine ambao waliachwa licha ya kufanya vizuri ikiwa ni pamoja na David Molinga ambaye alikuwa ni mshambuliaji aliyeletwa na Mwinyi Zahera aliyekuwa kocha wa wakati huo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kwa sasa wameanza kuwatazama aina ya wachezaji ambao wanawahitaji ili kuwasajili ila hawatafanya makosa kama zamani.

“Tumefanya makosa nyakati za nyuma hivyo kwa wakati huu hali hiyo haitajirudia kwa sababu tumempa jukumu la kufanya hivyo kocha, (Nassredine Nabi) wale wachezaji ambao atakuwa anahitaji basi tutawasajili.

“Hao ina maana kwamba moja kwa moja wataingia kwenye kikosi cha kwanza. Kwa wale ambao sisi tutawaona tutamwambia mwalimu na kutazama ripoti yake kisha tutazungumza,” amesema Bumbuli.

Kuelekea kwenye usajili wa msimu ujao taarifa zinaeleza kuwa tayari Yanga imekamilisha usajili wa nyota wa AS Vita, beki Djuma Shaban ambaye atajiunga na timu hiyo Julai.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YAHOFIA KUFANYA MAKOSA KWENYE USAJILI, HESABU ZAO HIZI HAPA
YANGA YAHOFIA KUFANYA MAKOSA KWENYE USAJILI, HESABU ZAO HIZI HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnRF2dRsPyL36hlJf_HnQ9RgUmCkFsyLfBr85KQ508e7iCcpziKe-wFVf7lVAazDwSj8RtZWRo7UXmY8tLS_n2ZeG0Ph0w75zGhCxZmrIPFYPk1eEDKj6lsc1vYQblKd5PSFmZIs9qwzke/w640-h360/Molinga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnRF2dRsPyL36hlJf_HnQ9RgUmCkFsyLfBr85KQ508e7iCcpziKe-wFVf7lVAazDwSj8RtZWRo7UXmY8tLS_n2ZeG0Ph0w75zGhCxZmrIPFYPk1eEDKj6lsc1vYQblKd5PSFmZIs9qwzke/s72-w640-c-h360/Molinga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yahofia-kufanya-makosa-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yahofia-kufanya-makosa-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy