POGBA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE
HomeMichezo

POGBA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

  PAUL Pogba wa Manchester United na mshikaji wake Zlatan Ibrahimovic walitambulishwa wakitokea benchi kwenye mchezo wa Europa League amb...

 


PAUL Pogba wa Manchester United na mshikaji wake Zlatan Ibrahimovic walitambulishwa wakitokea benchi kwenye mchezo wa Europa League ambao ulikuwa wa marudio.

Ibrahimovic wa AC Milan naye alibeba matumaini ya kufunga ila bahati haikuwa yake, Pogba mwenye miaka 28 alikuwa shujaa kwa kuwa alifunga bao la ushindi na kufanya ubao usome AC Milan 0-1 Manchester United. 

Bao la Pogba dakika ya 48 linaipa nafasi United kusonga mbele hatua robo fainali kwa jumla ya mabao 2-1 kwa kuwa mchezo wa kwanza walitoka sare ya kufungana bao 1-1 ndani ya Old Trafford na wameshinda San Siro.

Pogba amerejea kwa kasi ndani ya uwanja kwa kuwa alikuwa akitibu majeraha tangu Februari 6, Ole Gunnar Solskjaer Kocha Mkuu wa United amesema kuwa ni furaha kwa timu pamoja na mashabiki kiujumla.

"Kupata ushindi na kusonga mbele kwetu ni furaha na ninawapongeza wachezaji kwa kuwa wamepambana kutafuta matokeo," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: POGBA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE
POGBA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6FNL3V7_LeQrbal8OfE6y0QdD4Nj61i5bc6BtALZRrRqQ4L43yYzQ3OWbTS_pS1ej9U1POqWc00NCu9EMXRZ2qMug9k83Ff5rSOOjKaIFlsudTia7Yq_4HwArptcpESwulA6oJkabOVkV/w512-h640/IMG_20210319_081859_824.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6FNL3V7_LeQrbal8OfE6y0QdD4Nj61i5bc6BtALZRrRqQ4L43yYzQ3OWbTS_pS1ej9U1POqWc00NCu9EMXRZ2qMug9k83Ff5rSOOjKaIFlsudTia7Yq_4HwArptcpESwulA6oJkabOVkV/s72-w512-c-h640/IMG_20210319_081859_824.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/pogba-aipeleka-manchester-united-robo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/pogba-aipeleka-manchester-united-robo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy