BERNARD MORRISON KUWAKOSA WAARABU WA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HomeMichezo

BERNARD MORRISON KUWAKOSA WAARABU WA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  NYOTA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Bernard Morrison anatarajiwa kuukosa mchezo dhidi ya Al Ahly unaot...

CHEZA BILA UWOGA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
MWINYI ZAHERA KUTUA KWENYE BENCHI LA SIMBA
FISTON ADAIWA KUTELEKEZA FAMILIA YAKE, YAMFUATA BONGO

 


NYOTA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Bernard Morrison anatarajiwa kuukosa mchezo dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 9 nchini Misri.

Simba inatarajiwa kukwea pipa leo kuwafuata Waarabu hao wa Misri ambao ni wapinzani wao katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mchezo wao wa mwisho huku wakiwa tayari wamekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali.

Kwenye kundi A, Simba inaongoza kundi ikiwa na pointi 13 huku Al Ahly ikiwa nafasi ya pili na pointi zake 8, zote zimetinga hatua ya robo fainali.

Morrison mwenye pasi mbili kwenye ligi ya mabingwa ataukosa mchezo huo kwa sababu ana kadi mbili za njano, moja alipata kwenye mchezo dhidi ya Al Merrikh na ya pili alipata kwenye mchezo dhidi ya AS Vita.

Kadi zote mbili Morrison alizipata Uwanja wa Mkapa na ile ya AS Vita alionekana akizinguana na mchezaji wa kikosi cha AS Vita ambaye alimchezea faulo jambo lililofanya mwamuzi wa kati pamoja na wachezaji kumtuliza Morrison ambaye alionekana kuwa damu imechemka.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BERNARD MORRISON KUWAKOSA WAARABU WA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BERNARD MORRISON KUWAKOSA WAARABU WA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnNXcIMYnz_1xx5Z4BGiwF9FPgQ-Ttn2fmYGmEdDJOb9XYRpRXMnLZlsb6I8jfl7cxnpcNaCh1bCQTYA2c5SWi4ZPUy7xHe4fGBAJISjjBKd1JduI2HBB6nMNDAiarHwnJK2jUYezWEsIQ/w640-h640/IMG_20210405_184810_681.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnNXcIMYnz_1xx5Z4BGiwF9FPgQ-Ttn2fmYGmEdDJOb9XYRpRXMnLZlsb6I8jfl7cxnpcNaCh1bCQTYA2c5SWi4ZPUy7xHe4fGBAJISjjBKd1JduI2HBB6nMNDAiarHwnJK2jUYezWEsIQ/s72-w640-c-h640/IMG_20210405_184810_681.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/bernard-morrison-kuwakosa-waarabu-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/bernard-morrison-kuwakosa-waarabu-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy