MWAKATALIMO amesema kuwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City ni salamu kwa wapinzani wao Azam FC kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikis...
MWAKATALIMO amesema kuwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City ni salamu kwa wapinzani wao Azam FC kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. Pia amewashauri Mbeya City wasikamie timu kubwa bali wanapaswa kufanya hivyo kwenye mechi zote.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS