OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa suala la mchezaji wao Edward Manyama kudaiwa kuwa amesaini ndani ya Klabu ya Simba m...
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa suala la mchezaji wao Edward Manyama kudaiwa kuwa amesaini ndani ya Klabu ya Simba miaka miwili hizo ni tetesi kwa kuwa mchezaji huyo bado ni mali yao na hajasaini popote.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS