Rais Samia afanya uteuzi wa Viongozi wawili
HomeHabari

Rais Samia afanya uteuzi wa Viongozi wawili

 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Eleuther Mwageni kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Profesa Mwageni ...

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Upimaji Wa Haraka (Covid-19 Rapid Testing) Kwenye Viwanja Vya Ndege Kwa Wasafiri Wanaokwenda Nje Ya Nchi
Jeshi La Polisi Arusha Lapiga Marufuku Watoto Wadogo Majumba Ya Starehe.
RPC Pwani Awaonya Vikali Waharifu Kipindi Hiki Cha Sikukuu

 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Eleuther Mwageni kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).

Profesa Mwageni ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) na anachukua nafasi ya Profesa Esther Ishengoma ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huo umeanza tarehe 7 mwezi huu.

Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Neema Mwita kuwa Mjumbe wa Baraza la Ushindani.

Dkt. Mwita anachukua nafasi ya Dkt. Theodora Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.


 


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia afanya uteuzi wa Viongozi wawili
Rais Samia afanya uteuzi wa Viongozi wawili
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJxQ9VRM7PKgVajyrC4530crZ3JUAaZhpN5W19z4MyB8ghc8oB6BELPLGUgZsq4vd5yd60F8YQMdmYFfU-stuCO1VYWcmlbgFSX9StkI-QkGAzcZ1yNzh0t3-cgXVqXA_SQ7XdGPqxaOrT/s0/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJxQ9VRM7PKgVajyrC4530crZ3JUAaZhpN5W19z4MyB8ghc8oB6BELPLGUgZsq4vd5yd60F8YQMdmYFfU-stuCO1VYWcmlbgFSX9StkI-QkGAzcZ1yNzh0t3-cgXVqXA_SQ7XdGPqxaOrT/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-viongozi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-viongozi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy