Jeshi La Polisi Arusha Lapiga Marufuku Watoto Wadogo Majumba Ya Starehe.
HomeHabari

Jeshi La Polisi Arusha Lapiga Marufuku Watoto Wadogo Majumba Ya Starehe.

Happy Lazaro,Arusha. Arusha.Jeshi la Polisi Mkoa Arusha limewataka wakazi mkoa Arusha, kuchukuwa tahadhari za uhalifu na kutopeleka wato...


Happy Lazaro,Arusha.
Arusha.Jeshi la Polisi Mkoa Arusha limewataka wakazi mkoa Arusha, kuchukuwa tahadhari za uhalifu na kutopeleka watoto wadogo kwenye majumba ya vileo katika sherehe za Christmas na mwaka Mpya.


Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Justin Masejo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuelekea mkesha wa Christmas na mwaka mpya amesema jeshi hilo limejipanga kuhakikisha kunakuwa na usalama maeneo yote.


“Katika mkesha mwaka mpya tumeimarisha doria za askari wa miguu na magari,lakini tunaomba Wananchi pia kuchukuwa tahadhari kutowapeleka watoto maeneo ya vilevi na madereva kuacha kuendesha magari wakiwa wamelewa” amesema.


Amesema kuwa, katika kuimarisha Ulinzi majumbani ni muhimu Wananchi wanaokwenda katika ibada kufunga nyumba ama kuacha ulinzi.


“Pia tunawataka Wananchi kuendelea kuchukuwa tahadhari za ugonjwa wa uviko-19 hasa kwa kuepuka maeneo yenye mikusanyiko”amesema Masejo.


Hata hivyo Kamanda Masejo amewashukuru Wakazi Mkoa Arusha Kwa ushirikiano wao na Polisi na kuweza kumaliza mwaka salama huku matukio ya uhalifu yakiwa yamepungua .



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jeshi La Polisi Arusha Lapiga Marufuku Watoto Wadogo Majumba Ya Starehe.
Jeshi La Polisi Arusha Lapiga Marufuku Watoto Wadogo Majumba Ya Starehe.
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhQwq46H0OlclWFfrMyDyQrfwlII3b6_ibHEHdLfjIwqJBumXuSHNZIaw4-j2SabgLZDz-gcNw8Ok0EMGAEyVgsVptXY0gmBtwQFTw_cuMZaPt5f-41NVt59fFr65vnkScXs3aq919kkOBcxdy4n5aK2SvPO3BdLJkcd4ZJicni-ESFmgsUDgD4uyt1Qg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhQwq46H0OlclWFfrMyDyQrfwlII3b6_ibHEHdLfjIwqJBumXuSHNZIaw4-j2SabgLZDz-gcNw8Ok0EMGAEyVgsVptXY0gmBtwQFTw_cuMZaPt5f-41NVt59fFr65vnkScXs3aq919kkOBcxdy4n5aK2SvPO3BdLJkcd4ZJicni-ESFmgsUDgD4uyt1Qg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/jeshi-la-polisi-arusha-lapiga-marufuku.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/jeshi-la-polisi-arusha-lapiga-marufuku.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy