Infinix Wamekuja na Feature ya kuongeza RAM kwenye simu zake za NOTE 11Series.....Tazama Hapa Jinsi ya Kuongeza RAM
HomeHabari

Infinix Wamekuja na Feature ya kuongeza RAM kwenye simu zake za NOTE 11Series.....Tazama Hapa Jinsi ya Kuongeza RAM

RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji. Simu mpya z...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo October 19
Infinix Kuja na Toleo Jipya lenye ukubwa mara mbili zaidi ya matoleo ya awali.....Bofya Hapa Kujua Zaidi
Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yaanika Itakavyotumia Tzs Bil.90.2


RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji. Simu mpya za kama aina ya Infinix NOTE 11 Pro yenye 8GB RAM itaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu kuongezeka RAM hadi 5GB kwa kugusa kitufe tu inatoka 8GB RAM na kuwa 13GB RAM (8GB RAM+5GB RAM = 13GB RAM).


Haya ni mapinduzi ya kitekinolojia ambapo sasa utaweza kutumia Applications nyingi kwa wakati mmoja bila kumaliza chaji ya simu haraka wala kustaki, Kuongezeka kwa RAM kutakusaidia kuweza kufungua Apps nyingine kwa wakati mmoja kwa kasi kutoka 802ms mpaka 307ms ambapo kasi imeongezeka kwa asilimia 61%.
 


Utendaji wa RAM wa NOTE 11Series unapatikana kwenye Infinix NOTE11 Pro / NOTE 11. Kwa kuwasha RAM Iliyoongezwa, simu inaweza kupakia games kwa kasi na kuhakikisha kuwa watumiaji wanaweza kuanza mchezo mara moja, hata ikiwa utabadili na kufungua programu nyingi.

Hizi hapa hatua nne za kufuata kuongeza RAM kwenye simu za NOTE 11Series.
•   1️⃣  Click Setting
•     2️⃣    Find Special Function
•    3️⃣  Tap MemFusion
•    4️⃣   Turn on MemFusion and choose how much RAM you want to add
•    5️⃣  Restarting to make it run


Infinix Imekuwa ikija na kuanzisha teknolojia kubwa na  mpya kwenye simu zake na bado simu zake zimekuwa zikiuzwa kwa bei rafiki, RAM kuogezeka ni moja ya teknolojia ambayo Infinix wamepanga kuifanya endelevu kwa simu zote zijazo. Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa za Infinix Tanzania @infinixmobiletz kupata ufafanuzi zaidi.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Infinix Wamekuja na Feature ya kuongeza RAM kwenye simu zake za NOTE 11Series.....Tazama Hapa Jinsi ya Kuongeza RAM
Infinix Wamekuja na Feature ya kuongeza RAM kwenye simu zake za NOTE 11Series.....Tazama Hapa Jinsi ya Kuongeza RAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgwKWrXhfOA5gT1nHcITDXtBPGGuOUho7dhmCIHsNCd_9sMzZgp1HUQfoobDTBADHgU2hoZD7rNo5T27ygFooxmaeKyMIlOfZxkf2nuMjYOP1HltCFDZovabfOJqT_RXOObdX9WRhwtXQpqgElqEUwiLZa4YCBxNwvZo-iSA62rxipX6835cidwggDmjA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgwKWrXhfOA5gT1nHcITDXtBPGGuOUho7dhmCIHsNCd_9sMzZgp1HUQfoobDTBADHgU2hoZD7rNo5T27ygFooxmaeKyMIlOfZxkf2nuMjYOP1HltCFDZovabfOJqT_RXOObdX9WRhwtXQpqgElqEUwiLZa4YCBxNwvZo-iSA62rxipX6835cidwggDmjA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/infinix-wamekuja-na-feature-ya-kuongeza_24.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/infinix-wamekuja-na-feature-ya-kuongeza_24.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy