GADIEL MICHAEL AONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA, HATIHATI KUACHWA MAZIMA
HomeMichezo

GADIEL MICHAEL AONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA, HATIHATI KUACHWA MAZIMA

  GADIEL Michael nyota wa kikosi cha Simba inaelezwa kuwa jina lake limewekwa kando kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22. Nyota huyo amba...

KOCHA MKUU WA SIMBA ASHTUKA JAMBO,ABADILI GIA KWA MTINDO HUU
VIDEO:TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO YA WAPINZANI WA STARS
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI

 


GADIEL Michael nyota wa kikosi cha Simba inaelezwa kuwa jina lake limewekwa kando kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.


Nyota huyo ambaye ni beki wa kushoto aliibuka ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes akitokea Klabu ya Yanga.


Habari zinaeleza kuwa kushindwa kufiti kikosi cha kwanza ni sababu inayofanya nyota huyo kupigiwa hesabu za kuachwa.


Uwepo wa beki ambaye ni nahodha, Mohamed Hussein, 'Tshabalala' kuwa katika ubora ni sababu inayofanya uongozi wa Simba kufikiria kumuacha.


Kuhusu suala la usajili, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah, 'Try Again' amesema kuwa muda wa usajili bado na mipango yote ipo kwa kocha.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GADIEL MICHAEL AONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA, HATIHATI KUACHWA MAZIMA
GADIEL MICHAEL AONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA, HATIHATI KUACHWA MAZIMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPMtXx4zq7ZybJhpFYQ2lQHFUk4b3hVY96h3NLsSHjTQqSNqFksNpLzdBuqi_LOu9nRyDp-sAYZJXAMlyVYuSg_yqsBCPa3YpIrElb9mm5SgzWEjMsi7dog6uBb6AzeEH9y9VvtQcksoOz/w640-h428/IMG_20210611_071045_434.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPMtXx4zq7ZybJhpFYQ2lQHFUk4b3hVY96h3NLsSHjTQqSNqFksNpLzdBuqi_LOu9nRyDp-sAYZJXAMlyVYuSg_yqsBCPa3YpIrElb9mm5SgzWEjMsi7dog6uBb6AzeEH9y9VvtQcksoOz/s72-w640-c-h428/IMG_20210611_071045_434.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gadiel-michael-aondolewa-kwenye-mipango.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gadiel-michael-aondolewa-kwenye-mipango.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy