AZAM FC KAZINI LEO MBELE YA PRISONS
HomeMichezo

AZAM FC KAZINI LEO MBELE YA PRISONS

  KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina leo Februari 22 kitawakaribisha Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Lig...

 


KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina leo Februari 22 kitawakaribisha Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex. 


Ikiwa Azam FC ipo nafasi ya tatu na pointi 36 baada ya kucheza mechi 20 inakutana na Prisons iliyo nafasi ya 8 na pointi zake 25.


Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela,  Azam FC ilishinda bao 1-0 lilipachikwa na Prince Dube hivyo leo kazi itakuwa moja kwa Azam FC kulinda rekodi yao huku Prisons wakiwa na hesabu za kutibua hesabu za Azam FC.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa kikosi kipo tayari na wachezaji wana morali kubwa ya kupambana ili kupata ushindi ndani ya uwanja.

"Wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Prisons, tunawaheshimu wapinzani wetu ila nasi pia tupo tayari ili kupata matokeo chanya ndani ya uwanja,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KAZINI LEO MBELE YA PRISONS
AZAM FC KAZINI LEO MBELE YA PRISONS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxgh7QOK8yiyPd0Z7vRrLE74sMK0xyxKCqKQCsRRCBWzr7qvgxqo7Wkca3RFdpI0HRfobb_Cw92aBsy9hHxAROPJCb57zvdiMoCVdZbntT4dCUw2rUG7SiBFIb3iCYIMJq6JKHBdbp2W0r/w640-h640/IMG_20210222_081023_907.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxgh7QOK8yiyPd0Z7vRrLE74sMK0xyxKCqKQCsRRCBWzr7qvgxqo7Wkca3RFdpI0HRfobb_Cw92aBsy9hHxAROPJCb57zvdiMoCVdZbntT4dCUw2rUG7SiBFIb3iCYIMJq6JKHBdbp2W0r/s72-w640-c-h640/IMG_20210222_081023_907.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-kazini-leo-mbele-ya-prisons.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-kazini-leo-mbele-ya-prisons.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy