BREAKING: SASA ni rasmi Tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF. Msimu huu ni Simba inayonolewa ...
BREAKING: SASA ni rasmi Tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF.
Msimu huu ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilitinga hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Namungo ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho iliishia hatua ya makundi.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania imeeleza namna hii:-
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS