UJERUMANI WAKUBALI YAISHE EURO 2020
HomeMichezo

UJERUMANI WAKUBALI YAISHE EURO 2020

  JOACHIM Low, Kocha Mkuu wa Ujerumani amesema kuwa huwa inatokea kwa wachezaji wazuri kutolewa katika hatua ya mtoano kutokana na makosa...

 


JOACHIM Low, Kocha Mkuu wa Ujerumani amesema kuwa huwa inatokea kwa wachezaji wazuri kutolewa katika hatua ya mtoano kutokana na makosa ambayo wanayafanya hivyo kwa kilichowatokea kwao hamna namna ya kuzuia.

Katika mchezo wa hatua ya 16 bora ndani ya Euro 2020, Ujerumani ilikubali kuona ubao wa Uwanja wa Wembley ukisoma England 2-0 Ujerumani.

Ni Raheem Sterling dk 75 alipachika bao la kwanza na lile la pili lilipachikwa na nahodha Harry Kane dk ya 86 na kuwaondoa wapinzani wao huku England ikitinga hatua ya robo fainali ambapo itakutana na Ukraine iliyoshinda mabao 2-1 Sweden.


Kwa upande wa Kocha Mkuu wa England, Gareth Southgate amesema kuwa wachezaji walitumia nguvu nyingi kusaka ushindi mbele ya timu imara jambo ambalo kwao liliwapa matunda.

England imeweza kushinda jumla ya mechi 14 na ililazimisha sare nne huku ikipoteza ushindi katika jumla ya mechi 15 ambazo wamekutana katika mashindano yote pamoja na mechi za kirafiki tangu Mei 10,1930.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UJERUMANI WAKUBALI YAISHE EURO 2020
UJERUMANI WAKUBALI YAISHE EURO 2020
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj6qbyK4ApxfaX1uXoPXKjNW2N2LQEk_ZHGPHKtqFGX01LkttlWT4uid3We9pAv0G7-4OnKURI7Z_HFPaFlTNMrtCGzvT1LeQwEL_wbPa782LOhhdzKr8GMAc47rkszP0R8zakWmXDMLei/w628-h640/IMG_20210630_080319_383.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj6qbyK4ApxfaX1uXoPXKjNW2N2LQEk_ZHGPHKtqFGX01LkttlWT4uid3We9pAv0G7-4OnKURI7Z_HFPaFlTNMrtCGzvT1LeQwEL_wbPa782LOhhdzKr8GMAc47rkszP0R8zakWmXDMLei/s72-w628-c-h640/IMG_20210630_080319_383.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ujerumani-wakubali-yaishe-euro-2020.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ujerumani-wakubali-yaishe-euro-2020.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy