YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA
HomeMichezo

YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA

  MSHAMBULIAJI wa Yanga, Michael Sarpong, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuibuka na ushindi katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi y...


 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Michael Sarpong, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuibuka na ushindi katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Wakati Sarpong akisema hayo, wenzake Farid Mussa na Abdallah Shaibu ‘Ninja’, nao wamedai kuwa Yanga ina asilimia kubwa ya kushinda.


Dabi hii ni mzunguko wa pili ambapo Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga, raundi iliyopita watani hao walitoka sare ya 1-1, bao la Yanga likifungwa kipindi cha kwanza na Sarpong kwa mkwaju wa penalti baada ya beki wa Simba Joash Onyango kumchezea faulo Tuisila Kisinda na baadaye kusawazisha makosa yake kwa kufunga kwa kutumia kichwa.


Watani hawa wa jadi, wanatarajiwa kukutana huku Simba ikiongoza ligi kwa kuwa na pointi 61 na viporo viwili, wakati Yanga wanakamata nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 57.


“Najua mchezo utakuwa na upinzani mkubwa sana ila tumejipanga kuweza kushinda na tuna uhakika tutashinda,” alisema Sarpong.


“Mechi itakuwa ngumu sana kama ilivyo kawaida zikikutana timu hizi mbili zenye ushindani mkubwa ila chochote kinaweza kutokea tusubiri tu matokeo,” alisema Farid.


“Tumejiandaa sisi kama wachezaji ili kuhakikisha tunapata ushindi, ni kweli raundi ya kwanza tulitoka sare, makosa tuliyoyafanya tutajirekebisha na hatutayarudia ili kuweza kupata ushindi, tumejipanga vizuri maana tunaona tunaweza kushinda,” alisema Ninja.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA
YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkLzpDWr1oCoR12qJOqTlDYqmrOfwwFuSVCdis4PTfv-Gl6xpmZMhROQR8PtL8YjPfLyAUog7emy_H9LQy2cZCmMw2SSuEQhIu4Einb1BzPJ9hlfzljHEc_bQCeyDi2tTbaB1Wqfmubeae/w640-h562/Sarpong+Jamhuri.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkLzpDWr1oCoR12qJOqTlDYqmrOfwwFuSVCdis4PTfv-Gl6xpmZMhROQR8PtL8YjPfLyAUog7emy_H9LQy2cZCmMw2SSuEQhIu4Einb1BzPJ9hlfzljHEc_bQCeyDi2tTbaB1Wqfmubeae/s72-w640-c-h562/Sarpong+Jamhuri.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-tuna-asilimia-kubwa-ya-kushinda.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-tuna-asilimia-kubwa-ya-kushinda.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy