KIPA namba moja wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa maneno kuhusu mabao aliyofungwa hajapenda ikiwa ni pamoja na kwenye mchezo wao wa Ko...
KIPA namba moja wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa maneno kuhusu mabao aliyofungwa hajapenda ikiwa ni pamoja na kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Kambarage ambapo alifungwa na Deus Kaseke.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Amesema kuwa alimsoma Fiston namna alivyokaa na kuweza kuokoa penalti hiyo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS