MEI 8, 2021 ilibidi uchezwe mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga, ila Yanga waligomea mabadiliko ya muda uliofanywa kabla ya mchez...
MEI 8, 2021 ilibidi uchezwe mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga, ila Yanga waligomea mabadiliko ya muda uliofanywa kabla ya mchezo huo ambao awali ulipangwa kuchezwa saa 11:00 Uwanja wa Mkapa ila Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) lilieleza kuwa utachezwa saa 1:00. Tazama namna Yanga walivyoondoka kwa kutumia mlango wa chumba cha mikutano ya Waandishi wa Habari.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS