Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lawekwa Hadharani.......Wapiga Picha wakiwa bafuni Usiku
HomeBurudani

Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lawekwa Hadharani.......Wapiga Picha wakiwa bafuni Usiku

Hatimaye zile tetesi kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi zimekuwa kweli kwa zaidi ya asil...



Hatimaye zile tetesi kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 200....

Tetesi hizo zimethibitishwa na picha waliyopiga jana usiku wakiwa bafuni huku Wema akiwa amevaa taulo tu na Ommy Dimpoz akionekana kwa mbali kama ananawa mikono.

Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema, kwani comments na likes zilivyo tiririka utadhani picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wa manane.

Baadhi ya picha zao













Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lawekwa Hadharani.......Wapiga Picha wakiwa bafuni Usiku
Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lawekwa Hadharani.......Wapiga Picha wakiwa bafuni Usiku
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGHXFXcPCqH2EO0sYuLhgmi_iG-2WclRyakp62qtaYHjWJVN5mKrGvup5z0fp45rIbgFIdOHpz0QQnBqywWCumU4bL4w80mB0dcm14KEDGZ0ufwBd3jC-BdLAhYzwA8UvABPDIrJWJajk/s640/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGHXFXcPCqH2EO0sYuLhgmi_iG-2WclRyakp62qtaYHjWJVN5mKrGvup5z0fp45rIbgFIdOHpz0QQnBqywWCumU4bL4w80mB0dcm14KEDGZ0ufwBd3jC-BdLAhYzwA8UvABPDIrJWJajk/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/penzi-la-wema-sepetu-na-ommy-dimpoz.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/penzi-la-wema-sepetu-na-ommy-dimpoz.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy