NYOTA WAWILI WA SIMBA, CHAMA NA LUIS WAPEWA MAJUKUMU KUELEKEA MBELE YA YANGA
HomeMichezo

NYOTA WAWILI WA SIMBA, CHAMA NA LUIS WAPEWA MAJUKUMU KUELEKEA MBELE YA YANGA

 KOCHA Mkuu  wa Simba, Didier Gomes Da  Rosa,  kuelekea kwenye mechi yao  dhidi ya Yanga, huku akiwa  tayari ameshatoa majukumu maalum  kw...

NIDHAMU INAHITAJIKA KWA SIMBA KUIKABILI KAIZER CHIEFS KWA MKAPA
LEO NI ARUSHA FC V NDANDA, MKWARA WATEMBEA
IHEFU YAKOMALIA KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA

 KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Yanga, huku akiwa tayari ameshatoa majukumu maalum kwa nyota wake, Clatous Chama na Luis Miquissone.

 

Mei 8, mwaka huu, Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya ule wa mzunguko wa kwanza kumalizika kwa sare ya 1-1.

 

Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa kinara wa Ligi Kuu Bara baada ya kukusanya pointi 61 zilizotokana na kucheza mechi 25, huku Yanga ikishika nafasi ya pili ikiwa na pointi 57.


Katika mchezo wa kwanza, Chama mwenye mabao saba na asisti 13, huku Luis akifunga mabao saba na asisti tisa, wote wawili hawakufunga mabao.


Yanga ilifunga kupitia kwa Michael Sarpong na Simba mfungaji akiwa Joash Onyango.Taarifa kutoka ndani ya kambi ya Simba iliyoanza Jumatatu, zinasema kwamba, Gomes ameanza kutoa majukumu kwa kila mchezaji wake akiwemo Chama na Luis.

 

“Kila mchezaji amepewa majukumu yake siku hiyo, mbali na yote, lakini Luis ambaye anacheza winga, ametakiwa kurudi nyuma kusaidia ulinzi, pia kupeleka mashambulizi mbele ikiwezekana kufunga kabisa.

 

“Chama yeye kazi kubwa siku hiyo ni kuhakikisha anamaliza majukumu yake yote ya kutuliza na kuanzisha mashambulizi, endapo wachezaji wakifuata kile ambacho wanaelekezwa na kocha, basi hao Yanga watakufa nyingi,” kilisema chanzo.


Kuhusu mchezi huo Gomes amesema kuwa anahitaji pointi tatu ili kuweza kutwaa ubingwa wa ligi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WAWILI WA SIMBA, CHAMA NA LUIS WAPEWA MAJUKUMU KUELEKEA MBELE YA YANGA
NYOTA WAWILI WA SIMBA, CHAMA NA LUIS WAPEWA MAJUKUMU KUELEKEA MBELE YA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYkMGBNyBl0j4EQhMdGu21yowyrt7Mizkl56_fvQJ_vtwDZ8TcY-ahsIz5fD_70N-oyeTbXto97GLGxKDD_W56F9eK6LTaFp8tKC3qw2c2f3Xb5nQUZIp6hQnUJOWZffgHGhfESgm9-VKI/w640-h428/Luis-Miquissone.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYkMGBNyBl0j4EQhMdGu21yowyrt7Mizkl56_fvQJ_vtwDZ8TcY-ahsIz5fD_70N-oyeTbXto97GLGxKDD_W56F9eK6LTaFp8tKC3qw2c2f3Xb5nQUZIp6hQnUJOWZffgHGhfESgm9-VKI/s72-w640-c-h428/Luis-Miquissone.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-wawili-wa-simba-chama-na-luis.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nyota-wawili-wa-simba-chama-na-luis.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy