CLATOUS CHAMA APEWA TUZO KWA MWEZI APRILI
HomeMichezo

CLATOUS CHAMA APEWA TUZO KWA MWEZI APRILI

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ameibuka kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Mashabiki wa Mwezi Aprili. Tuzo hiyo inayo...

TAWI JIPYA LA AZAM FC LAZINDULIWA NA BASI JIPYA
RONALDO AFIKISHA JUMLA YA HAT TRICK 58
MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON AANDALIWA ULINZI

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ameibuka kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Mashabiki wa Mwezi Aprili.

Tuzo hiyo inayodhaminiwa na Emirate Aluminium imeanza hivi karibuni kwa lengo la kuwaongezea morali wachezaji wa timu hiyo kufanya vizuri.

Mchezaji wa kwanza kusepa na tuzo hiyo alikuwa na kiungo Luis Miquissone na wa pili alikuwa ni beki Joash Onyango.

Tuzo ya Aprili ambapo Chama alikuwa akipambania na Aishi Manula pamoja na Shomari Kapombe inakuwa ya tatu kutolewa.

Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Simba wamemtangaza Chama kuwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwezi Aprili.

Kiungo huyo amekuwa bora ndani ya uwanja pale anapoamua kwa kuwa wakati mwingine amekuwa akilalamikiwa kucheza chini ya kiwango.

Ndani ya ligi amefunga mabao 7 na kutoa jumla ya pasi 13 akiwa ni kinara kwa upande wa watengeneza mipango msimu wa 2020/21.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CLATOUS CHAMA APEWA TUZO KWA MWEZI APRILI
CLATOUS CHAMA APEWA TUZO KWA MWEZI APRILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwB_IU7uDKhZ_i_NIdOB9D3t1EfyEggk3PyEVssrfwo89CWbWPwos4LgkNM9a7Lyyxu5NBJJqW3zH060BitKdiPOg2xC6wwZw-k8mnnx9lWPR6tdTfBmDIo7AdRqLrTpKkDTIGiIpCCVpp/w640-h452/Chama+na+Mwadui.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwB_IU7uDKhZ_i_NIdOB9D3t1EfyEggk3PyEVssrfwo89CWbWPwos4LgkNM9a7Lyyxu5NBJJqW3zH060BitKdiPOg2xC6wwZw-k8mnnx9lWPR6tdTfBmDIo7AdRqLrTpKkDTIGiIpCCVpp/s72-w640-c-h452/Chama+na+Mwadui.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/clatous-chama-apewa-tuzo-kwa-mwezi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/clatous-chama-apewa-tuzo-kwa-mwezi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy