AZAM FC HESABU ZAO KWA SASA ZIPO NAMNA HII
HomeMichezo

AZAM FC HESABU ZAO KWA SASA ZIPO NAMNA HII

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mipango yao kwa sasa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho kwa kuwa uwezo wanao na nia ipo kwa kila mmoja...

YANGA WAZUNGUMZIA HALI ZA YACOUBA NA NTIBANZOKIZA
ISHU YA MKUDE KUREJEA SIMBA IMEKAA NAMNA HII
MTIBWA SUGAR YAANZA KUPIGIA HESABU MZUNGUKO WA PILI

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mipango yao kwa sasa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho kwa kuwa uwezo wanao na nia ipo kwa kila mmoja.

Ushindi wa mabao 2-1 waliyopata mbele ya Polisi Tanzania umewapa nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.

Inaungana na Yanga, Simba ambao ni mabingwa watetezi, Dodoma Jiji pamoja na Mwadui FC ni baadhi ya timu ambazo zimetinga hatua hiyo.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa mpango mkubwa ni kupata ushindi kwenye mechi zao watakazocheza mpaka watakapotwaa ubingwa.

"Malengo yetu makubwa ni kuona kwamba tunapata kombe lolote lile ambalo ni kubwa katika mashindano ambayo tunayashiriki msimu huu na tuna amini itakuwa hivyo.

"Kwa kuwa tumetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho basi tutazidi kupambana ili kupata matokeo kwenye mechi zijazo," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC HESABU ZAO KWA SASA ZIPO NAMNA HII
AZAM FC HESABU ZAO KWA SASA ZIPO NAMNA HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinO9qSNuBnGCpuHtsO-aYdK3Q-O81FUISk0J9AoXfAvbtz9Vnf4gPZVUQWHkSMprpRDpsikXYM9epH5ksH376i-4EL3V0P1eNUY0svQEKgXf9apRb6ix0X-Q0VxabCrQ08UFjICJCscK6p/w640-h556/Azam+na+mvua.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinO9qSNuBnGCpuHtsO-aYdK3Q-O81FUISk0J9AoXfAvbtz9Vnf4gPZVUQWHkSMprpRDpsikXYM9epH5ksH376i-4EL3V0P1eNUY0svQEKgXf9apRb6ix0X-Q0VxabCrQ08UFjICJCscK6p/s72-w640-c-h556/Azam+na+mvua.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-hesabu-zao-kwa-sasa-zipo-namna.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-hesabu-zao-kwa-sasa-zipo-namna.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy