ISHU YA MKUDE KUREJEA SIMBA IMEKAA NAMNA HII
HomeMichezo

ISHU YA MKUDE KUREJEA SIMBA IMEKAA NAMNA HII

 JONAS Mkude, nyota wa Klabu ya Simba kwa sasa anasubiri simu ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ili aweze kurejea kambini. Kiun...

VIDEO: DICKOSN AMBUNDO AFUNGUKIA ISHU YA KUJIUNGA NA YANGA
VIDEO: KUMBE MANULA ALIAMBIWA UKWELI JAMBO LILILOMFANYA ATAKE KUGOMBANA
VIDEO: DODOMA JIJI YABAINISHA KILICHOWAONDOA KOMBE LA SHIRIKISHO

 JONAS Mkude, nyota wa Klabu ya Simba kwa sasa anasubiri simu ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ili aweze kurejea kambini.

Kiungo huyo mkabaji kipenzi cha mashabiki na viongozi wa Simba alisimamishwa ndani ya Klabu hiyo Desemba 28 kutokana na utovu wa nidhamu.

Kwa mujibu wa Kamati ya Nidhamu ya Simba inayosimamiwa na Kamanda Mstaafu wa Kanda ya Dar, Seleman Kova iliweka wazi kuwa nyota huyo alikutwa na hatia ya makosa ya utovu wa nidhamu.

Kutokana na suala hilo alipigwa faini ya milioni moja na kupewa karipio kali pamoja na kutakiwa kuomba msamaha kwa njia ya maandishi ikiwa tayari ameshaomba msamaha kwa njia ya maneno.

Habari zinaeleza kuwa tayari ameshakamilisha kila kitu ikiwa ni pamoja na faini hivyo kwa sasa anasubiri ruhusu kutoka kwa CEO.

"Tayari Mkude amemaliza kila kitu kuanzia faini mpaka kuomba msamaha kwa maandishi, ni suala la simu ya CEO kwamba kijana rudi kazini anarudi kambini," ilieleza taarifa hiyo.

Chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes Mkude bado hajaanza mazoezi na hajashiriki pia Simba Super Cup ambapo leo timu yake itacheza na TP Mazembe kwenye mchezo wa kilele, Uwanja wa Mkapa.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa Mkude ni mali ya Simba na makosa aliyofanya ni sehemu ya kazi kwa binadamu. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA MKUDE KUREJEA SIMBA IMEKAA NAMNA HII
ISHU YA MKUDE KUREJEA SIMBA IMEKAA NAMNA HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAmg4uf6qTDh-VwkRmX-H-KTW88sVNwV_lWWVEVqz1nGtOyV-J-91fe9lni1ENoUJkkQdxF0nt4pbCxJD1zFyt_V8L5E01tz1JSuvnow4RqUkbJFMoLt7cUY2hACvHD2Q3SPj7dzgTUiCv/w369-h400/mkude+sasa.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAmg4uf6qTDh-VwkRmX-H-KTW88sVNwV_lWWVEVqz1nGtOyV-J-91fe9lni1ENoUJkkQdxF0nt4pbCxJD1zFyt_V8L5E01tz1JSuvnow4RqUkbJFMoLt7cUY2hACvHD2Q3SPj7dzgTUiCv/s72-w369-c-h400/mkude+sasa.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/ishu-ya-mkude-kurejea-simba-imekaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/ishu-ya-mkude-kurejea-simba-imekaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy