MANE AMECHEZA JUMLA YA MECHI 229
HomeMichezo

MANE AMECHEZA JUMLA YA MECHI 229

  NYOTA wa kikosi cha Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England,  Sadio Mane amecheza jumla ya mechi 229 na aliibuka ndani ya kikosi hicho ...

 


NYOTA wa kikosi cha Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England,  Sadio Mane amecheza jumla ya mechi 229 na aliibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Southampton msimu wa 2016/17.

Msimu huu wa 2020/21 ametupia mabao 11 na jumla ya pasi 7 katika mechi 35 ambazo amecheza na ana wastani wa kufunga kila baada ya dk 255.

Jumla katika mechi 229 amefunga mabao 95 na pasi za mabao ni 36 ndani ya mechi za Ligi Kuu England.

Msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool alianza kikosi cha kwanza mechi 27 na moja akitokea benchi na alitupia jumla ya mabao 13.

Pia ana tuzo moja ya mfungaji  bora ambapo alitwaa msimu wa 2018/19 alitupia jumla ya mabao 22 katika mechi 36 alizoanza kikosi cha kwanza na mechi moja alianzia  benchi.

Raia huyo wa Senegal amenyanyua mara moja taji la Ligi Kuu England akiwa na Liverpool ilikuwa msimu wa 2019/20 na jezi anayopenda kuivaa mshambuliaji huyo ni namba 10.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANE AMECHEZA JUMLA YA MECHI 229
MANE AMECHEZA JUMLA YA MECHI 229
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgthkJkQCMKQh9ixaoaGJs_76o2eorU6XUE_foFEnxaqR7zXgRu07LODaZDBOraidFu6iRKt9pcjrZaBEoFfxys5vtFDlg_wIVq1aekhxTI7DXxesEwV5fWhr-KiQD6xBi0Sl9cQu_dfWE1/w640-h480/Mane.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgthkJkQCMKQh9ixaoaGJs_76o2eorU6XUE_foFEnxaqR7zXgRu07LODaZDBOraidFu6iRKt9pcjrZaBEoFfxys5vtFDlg_wIVq1aekhxTI7DXxesEwV5fWhr-KiQD6xBi0Sl9cQu_dfWE1/s72-w640-c-h480/Mane.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mane-amecheza-jumla-ya-mechi-229.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mane-amecheza-jumla-ya-mechi-229.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy