ARTETA BADO ANAAMINI KWAMBA ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO
HomeMichezo

ARTETA BADO ANAAMINI KWAMBA ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO

LICHA ya kutolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya Europa League kwa kutolewa na Villarreal ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Unai Emery, Koc...

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AL MERRIKH
LIVERPOOL YASEPA NA POINTI TATU ZA WOLVES
KIMENUKA ULAYA: REAL MADRID KUCHEZA NA ATALANTA LEO, AC MILAN VS MAN UNITED

LICHA ya kutolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya Europa League kwa kutolewa na Villarreal ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Unai Emery, Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta anaamini kwamba ataendelea kuwa kwenye timu hiyo kwa msimu ujao.

Arteta anaamini kwamba ana uwezo wa kufanya vizuri wakati ujao na kuwapa kile ambacho wanakihitaji mashabiki wa Arsenal.

Uongozi wa Arsenal imeelezwa kuwa upo tayari kumpa nafasi nyingine kocha huyo mwenye miaka 39 kuendelea kukinoa kikosi hicho.

Ila habari zimeeleza kuwa nafasi ya Arteta kubaki ndani ya kikosi hicho inategemea nafasi ambayo atamaliza kwenye Ligi Kuu England kwani mabosi hawataona shida kumfukuza kocha huyo ili kumpata kocha mwingine.

Alipoulizwa kuhusu nafasi yake ndani ya timu hiyo Arteta ambaye alishinda taji la FA msimu uliopita alisema:"Ndio, ninadhani kikosi kinahitaji mabadiliko. Tayari kuna mabadiliko ambayo tumeanza kuyafanya Desemba, jambo ambalo halikufanywa nyuma kuna mambo ambayo yanakwenda kubadilika nina amini uongozi utafanya hivyo nami nina amini bado nipo," .





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARTETA BADO ANAAMINI KWAMBA ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO
ARTETA BADO ANAAMINI KWAMBA ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXEhmS6jLex5csZG_yns_IgcTDlolFkglH93si5P0BttKPo5w1fBLJfzVqhbi6lWwmD9FVTZU6rgV80_vUK_euYfNzTjSZxADNtJPoNcxkAfOBf7YdoOZ_LjwiVk8lSiBToQPeZp8T6tlR/w640-h356/arteta+bosi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXEhmS6jLex5csZG_yns_IgcTDlolFkglH93si5P0BttKPo5w1fBLJfzVqhbi6lWwmD9FVTZU6rgV80_vUK_euYfNzTjSZxADNtJPoNcxkAfOBf7YdoOZ_LjwiVk8lSiBToQPeZp8T6tlR/s72-w640-c-h356/arteta+bosi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arteta-bado-anaamini-kwamba-atakuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/arteta-bado-anaamini-kwamba-atakuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy