MWAMBUSI AWATAJA WASHAMBULIAJI WATAKAOWASHANGAZA WENGI
HomeMichezo

MWAMBUSI AWATAJA WASHAMBULIAJI WATAKAOWASHANGAZA WENGI

  KAIMU Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa anaamini washambuliaji wake watawashangaza wengi ligi itakapoanza kutoka...

JEMBE JIPYA LAANZA MAZOEZI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA
TAIFA STARS KESHO KAZINI TENA UWANJA WA MKAPA
GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC

 


KAIMU Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa anaamini washambuliaji wake watawashangaza wengi ligi itakapoanza kutokana na program ambazo wanazifanya.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mwambusi amesema kuwa kwa sasa kazi kubwa ambayo wanaifanya ni kuwarejeshea hali ya kujiamini pamoja na uwezo wa kumiliki mpira jambo ambalo naamini litawarudisha katika kasi.

“Ukitazama muda ambao nipo na vijana ninaona mabadiliko kila leo, wataweza kuwa katika kasi ya tofauti ambayo itawashangaza wengi kwa kuwa kila kitu naona kinakwenda sawa.

“Upande wa Fiston, (Abdulazack), Sarpong,(Michael) ni wachezaji wazuri na wote ninakwenda nao sawa hivyo sina mashaka na uwezo wao nina amini kwamba kazi yao ya kufunga wataitimiza ni suala la kusubiri,” amesema.

Yanga itaanza kumenyana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Aprili 10, Uwanja wa Mkapa.

Mchezo wao wa mzunguko wa kwanza ubao ulisoma KMC 1-2 Yanga na kuwafanya Yanga wasepe na pointi tatu huku KMC wakikosa pointi hizo Uwanja wa CCM Kirumba hivyo utakuwa mchezo wenye ushindani.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWAMBUSI AWATAJA WASHAMBULIAJI WATAKAOWASHANGAZA WENGI
MWAMBUSI AWATAJA WASHAMBULIAJI WATAKAOWASHANGAZA WENGI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKzQxa7epoXarWMiJ7ar2wHfQBaOa1Ugj2AmnWr_AhgZJs9iyRNr3fDSH3sqxsr5hHAJiu1-HGlGjFOUgBL7d1xSWB0MQTdr_QKX-sx4_mOYYibtw-e4dsX0g8xwuMjf8nt2o6FvdrgMbH/w640-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKzQxa7epoXarWMiJ7ar2wHfQBaOa1Ugj2AmnWr_AhgZJs9iyRNr3fDSH3sqxsr5hHAJiu1-HGlGjFOUgBL7d1xSWB0MQTdr_QKX-sx4_mOYYibtw-e4dsX0g8xwuMjf8nt2o6FvdrgMbH/s72-w640-c-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwambusi-awataja-washambuliaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwambusi-awataja-washambuliaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy