JEMBE JIPYA LAANZA MAZOEZI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA
HomeMichezo

JEMBE JIPYA LAANZA MAZOEZI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, beki wa kati Dickoson Job ameanza mazoezi kwa ajili ya kuanza kazi kwenye maisha mapya ambayo yupo...


INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, beki wa kati Dickoson Job ameanza mazoezi kwa ajili ya kuanza kazi kwenye maisha mapya ambayo yupo kwa sasa.

Job ni usajili wa Cedric Kaze ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Kaze alifutwa kazi Machi 7,2021 kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni matokeo mabovu ya timu hiyo.

Mpaka sasa Job hajacheza mechi yoyote ya ushindani baada ya kujiunga na Yanga akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja.

Kwa sasa tayari ameshapona na ameshaanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzanke walio chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi.

Job amesema:"Ninamshukuru Mungu nipo salama na tayari kwa ajili ya kuwatumikia wana Jangwani.

"Furaha yangu kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na matumaini yangu ni kuona kwamba ninafanya vizuri kila wakati," .

Kwenye msimamo Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 23.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JEMBE JIPYA LAANZA MAZOEZI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA
JEMBE JIPYA LAANZA MAZOEZI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEik7uH5xCYRGDF4uOu07eHazSCsu-5rd3Xk5I2j5RXeX3eUbE85FgEregEdnUugJucIMYHz1IK8yWlWjFYPDpj6hlupwMGd43ZpOOySt0R4Vjv3eeR7JGVyIHpaAkDK_5uOB2oZcbWKFx_L/w618-h640/Dikson+Yanga.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEik7uH5xCYRGDF4uOu07eHazSCsu-5rd3Xk5I2j5RXeX3eUbE85FgEregEdnUugJucIMYHz1IK8yWlWjFYPDpj6hlupwMGd43ZpOOySt0R4Vjv3eeR7JGVyIHpaAkDK_5uOB2oZcbWKFx_L/s72-w618-c-h640/Dikson+Yanga.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/jembe-jipya-laanza-mazoezi-ndani-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/jembe-jipya-laanza-mazoezi-ndani-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy