LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA
HomeMichezo

LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA

 MSHAMBULIAJI  Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji amesema kuwa anafuraha ya kurudi ndani ya kikosi cha Chelsea ambapo atakuwa hapo kwa msimu u...


 MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji amesema kuwa anafuraha ya kurudi ndani ya kikosi cha Chelsea ambapo atakuwa hapo kwa msimu ujao ndani ya Ligi Kuu England.

 Lukaku amerejea ndani ya Chelsea baada ya kuyeyusha miaka 10 kwa kuwa alisepa hapo mwaka 2014 na dau lake la usajili ni pauni milioni 97.5 akitokea Inter Milan.

Amesaini dili la miaka mitano kwa ajili ya kuwa ndani ya Stamford Bridge huku akiweka wazi kwamba anafuraha ya kurejea hapo.

"Ninafuraha kurudi hapa, nilikuwa ninaisapoti Chelsea tangu nikiwa mdogo na sasa nimerejea ninafurahi sana," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA
LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg29m7w6r0I3eE42knj9xeiQPueE0m7RlhLdU542BwSBDe09-ZAA14LA1sb7pCeWfLO7avkH6uu75bWb5HuRMsz7rBcMWRZtIwQwfwPrYKWqZHRL0YoMtDDokDuVQgpxk-f9ZsCdy94YhML/w640-h360/Lukaku+Taifa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg29m7w6r0I3eE42knj9xeiQPueE0m7RlhLdU542BwSBDe09-ZAA14LA1sb7pCeWfLO7avkH6uu75bWb5HuRMsz7rBcMWRZtIwQwfwPrYKWqZHRL0YoMtDDokDuVQgpxk-f9ZsCdy94YhML/s72-w640-c-h360/Lukaku+Taifa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lukaku-achekelea-kurudi-chelsea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lukaku-achekelea-kurudi-chelsea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy