ISHU YA MRITHI WA KAZE YANGA IMEFIKA HAPA, HAWA HAPA WAPENYA
HomeMichezo

ISHU YA MRITHI WA KAZE YANGA IMEFIKA HAPA, HAWA HAPA WAPENYA

  U ONGOZI  wa  Klabu ya Yanga,  umerejea kwa kasi  kwenye mchakato  wa kuchambua jina  moja la mrithi wa Cedric Kaze  aliyetimuliwa Machi...

LALA SALAMA MUHIMU KUJIPANGA, VIWANJA BADO NI TATIZO KUBWA LINGINE
MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA
MBINU ZA KOCHA WA KAGERA SUGAR ZAFELI KWA TIMU YAKE YA ZAMANI

 UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umerejea kwa kasi kwenye mchakato wa kuchambua jina moja la mrithi wa Cedric Kaze aliyetimuliwa Machi 7, mwaka huu.

 

Mchakato huo ulisimama kwa muda wa siku 21, kupisha maombolezo ya kifo cha Hayati, Dk John Pombe Magufuli, ambapo majina ya kocha wa zamani wa timu ya Township Rollers ya Botswana, Nikola Kovazovic, aliyekuwa Kocha wa TP Mazembe ya DR Congo, Hubert Velud na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya, Mfaransa, Sebastian Migne ndiyo yanatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kubeba mikoba hiyo.

 

Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele, Yanga wamekuwa wakigubikwa na hali ya kukosa utayari wa chaguo sahihi, ambapo tangu wamuondoe Kaze kwa madai ya kutoridhishwa na matokeo, sasa wamerejea upya kwenye mchakato huo, ili waweze kupata jina mojawapo mapema kabla ya mechi yao ya marudiano na Simba ya Mei 8, mwaka huu kufika.

 

Chanzo makini kimeliambia Championi kuwa, tayari Kamati ya Utendaji ya Yanga, imeingia tena kwenye mchakato huo, ili uweze kujihakikishia jina moja la kocha ambaye anatakiwa kuwa ndani ya nchi muda wowote kuanzia sasa ili aweze kuja kuzoea mazingira na kuona mechi yao dhidi ya Simba.

 

“Hatimaye sasa furaha inaenda kurejea ndani ya klabu yetu, ambapo tayari uongozi wetu kupitia kamati ya utendaji na wadhamini wetu, GSM wameanza upya kujielekeza kwenye suala la kocha, ambapo, wana mpango wa kuitisha kikao cha dharula ili kuhakikisha kocha anatua kabla ya mechi yetu na Simba,” kilisema chanzo hicho.

 

Kwa upande wa Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli alisema: “Ishu ya kocha tayari tumeshaiweka wazi kuwa majina matatu yapo na kweli siku chache zijazo kamati tendaji itakaa na kupendekeza jina la kocha mmojawapo ambaye muda wowote ataungana nasi.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA MRITHI WA KAZE YANGA IMEFIKA HAPA, HAWA HAPA WAPENYA
ISHU YA MRITHI WA KAZE YANGA IMEFIKA HAPA, HAWA HAPA WAPENYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWoDr6C_iKE3BElUqKj6RDEI70YNyUihEPXAP94TNM2OvgTMr_Z5O0F8nCt6Th-mf1JtlRELCOJJikK4I2bGvP1XPCLSAM0IN6B53-aT8mXfO2YegTgfKjf9MDMBWg7KUI1iJKwmdEly1h/w640-h412/Seba+wa+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWoDr6C_iKE3BElUqKj6RDEI70YNyUihEPXAP94TNM2OvgTMr_Z5O0F8nCt6Th-mf1JtlRELCOJJikK4I2bGvP1XPCLSAM0IN6B53-aT8mXfO2YegTgfKjf9MDMBWg7KUI1iJKwmdEly1h/s72-w640-c-h412/Seba+wa+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ishu-ya-mrithi-wa-kaze-yanga-imefika.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ishu-ya-mrithi-wa-kaze-yanga-imefika.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy