GWAMBINA FC YAWEKA WAZI MALENGO YAO MSIMU HUU
HomeMichezo

GWAMBINA FC YAWEKA WAZI MALENGO YAO MSIMU HUU

  BADRU Mohammed, Kocha Mkuu wa Gwambina FC amesema kuwa hesabu kubwa za timu hiyo kwa sasa ni kuweza kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa ms...

SIMBA YAIPOTEZA YANGA, AZAM FC KWENYE REKODI
ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA KIUNGO LOKONGA
VIDEO: TANZANIA PRISONS YAPATA DILI NONO, USAJILI WAPIGIWA HESABU

 
BADRU Mohammed, Kocha Mkuu wa Gwambina FC amesema kuwa hesabu kubwa za timu hiyo kwa sasa ni kuweza kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/21.

Kwenye msimamo ipo nafasi ya 12 ikiwa imekusanya jumla ya pointi 30 baada ya kucheza jumla ya mechi 27.

Haijawa kwenye mwendo mzuri licha ya kwamba ana tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi kwani katika mechi zake nne za hivi karibuni ameambulia kichapo mfululizo.

Waliacha pointi tatu mbele ya KMC, Yanga, Simba na ilipoteza pia kwa kufungwa na Mwadui ambayo inapambana kusaka nafasi ya kujinasua kutoka nafasi ya 18 ambayo imedumu nayo kwa muda mrefu.

Badru amesema:"Malengo yetu makubwa kwa sasa ni kuona kwamba timu inabaki kwenye ligi msimu ujao, matokeo ambayo tunayapata ni mabaya ila kuna kitu ambacho tunakionyesha.

"Wachezaji wamekuwa wakifanya makosa ambayo tunayafanyia kazi hivyo nina amini kwamba wale ambao wanaona wanajua kwamba Gwambina ni hodari," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GWAMBINA FC YAWEKA WAZI MALENGO YAO MSIMU HUU
GWAMBINA FC YAWEKA WAZI MALENGO YAO MSIMU HUU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsfxXJWpyiMNcCyTiGDCBvgkTPmuC21QYLjHUAn2ePo4QNKhXfSa2XsjH-js9iob9W-rEdxbgNIlyNFkGwHJoGAvNjCzOFA1OlVftf_N6fFzgoOE9GCkyK_RPWqqBcay1TmaWOMnhoGO5t/w640-h612/Gwambina+v+Mwadui.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsfxXJWpyiMNcCyTiGDCBvgkTPmuC21QYLjHUAn2ePo4QNKhXfSa2XsjH-js9iob9W-rEdxbgNIlyNFkGwHJoGAvNjCzOFA1OlVftf_N6fFzgoOE9GCkyK_RPWqqBcay1TmaWOMnhoGO5t/s72-w640-c-h612/Gwambina+v+Mwadui.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/gwambina-fc-yaweka-wazi-malengo-yao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/gwambina-fc-yaweka-wazi-malengo-yao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy