ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA KIUNGO LOKONGA
HomeMichezo

ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA KIUNGO LOKONGA

KLABU ya Arsenal inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imekamilisha usajili wa kiungo kutoka Klabu ya  Anderlecht , Albert Sambi Lokonga...

SIMBA YAPELEKWA MAHAKAMANI NA RWEYEMAMU
MO SALAH ATUPIA MAWILI WAKATI TIMU YAKE IKISEPA NA POINTI TATU MBELE YA WEST HAM UNITED
JEMBE JIPYA YANGA LAPEWA JEZI YA MAPINDUZI, MAZOEZI YAKE NOMA

KLABU ya Arsenal inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imekamilisha usajili wa kiungo kutoka Klabu ya Anderlecht, Albert Sambi Lokonga kwa dili la muda mrefu.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 21 atasafiri na timu kuelekea Florida na timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 siku ya Jumatano.

Katika timu yake ya Ubelgiji aliweza kutokea kwenye kikosi chake mara 78 ambapo alikuwa akicheza chini ya nahodha wa zamani wa Manchester City, Vincent Kompany na aliweza kucheza hapo kwa muda wa miaka 10.

Kiungo huyo amesema kuwa kwake ni hatua kubwa kuweza kufikia sehemu hiyo na ikiwa ni mara yake ya kwanza kuhama kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kufanya kazi na atapambana ili kufanya vizuri.

"Ni hatua kubwa kwangu kwa sababu nimecheza ndani ya Anderlecht kwa muda wa miaka 10 inakuwa ni mara yangu ya kwanza kuwa kwenye nchi nyingine na ninajiskia kujiamini," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA KIUNGO LOKONGA
ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA KIUNGO LOKONGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWqYOVA0fnF8SY741d7NYeHrdNP7cYx0HhX-dC-i_bzoiERCOjo7s7VHtAe-x_y804hRzNPjPSQiP2fq_mJzuLUvYMVquPFWWk235DNCDGVzp6DyuDzxPXu4t0olisRu3aqC7dFOw92dqs/w640-h360/Lokonga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWqYOVA0fnF8SY741d7NYeHrdNP7cYx0HhX-dC-i_bzoiERCOjo7s7VHtAe-x_y804hRzNPjPSQiP2fq_mJzuLUvYMVquPFWWk235DNCDGVzp6DyuDzxPXu4t0olisRu3aqC7dFOw92dqs/s72-w640-c-h360/Lokonga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/arsenal-yakamilisha-dili-la-kiungo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/arsenal-yakamilisha-dili-la-kiungo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy