GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE
HomeMichezo

GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE

PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa anajisikia vibaya kuona timu yake imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Lig...


PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa anajisikia vibaya kuona timu yake imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Southampton.

City ambao ni mabingwa watetezi walimenyana na Southampton katika mchezo uliokamilika kwa ubao wa Uwanja wa Etihad kusoma 0-0 kwa timu zote mbili.

Hivi karibuni Guardiola alikuwa akitumia nguvu kubwa kuwashawishi mashabiki kuhudhuria uwanjani kwenye mchezo huo lakini timu yake ikaambulia sare na kusepa na pointi moja.

Kocha huyo amesema kuwa ni jambo baya kwa timu yake kushindwa kupata ushindi lakini anawataka mashabiki wasikate tamaa watafanya vizuri kwenye mechi zijazo.

"Sikusema jambo lolote baya kwenye mchezo dhidi ya Leipzig, nilisema kuwa tunacheza mchezo mgumu dhidi ya Saint's na tunahitaji matokeo, sikusema nani alikuja uwanjani nani hakuja.

"Kila siku nimekuwa nikisjikia vibaya ninapoona mambo hayaendi vizuri lakini nataka kuwahakikishia mashabiki kuwa waje uwanjani," amesema.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE
GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi17VNLrLBDn7zQbpJNkjhLMBAwUeVMEy9gepzb3c5RNUDtWtAFs4HyunARHsqEWwsCV1qM_HAA0jWtOIOXWUvPruoaLPjEZ3V9zXvuP-8d35gmGq0OInd1DZGGxJnCU0-x07-t1qe_Yivv/w640-h360/Guardiola.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi17VNLrLBDn7zQbpJNkjhLMBAwUeVMEy9gepzb3c5RNUDtWtAFs4HyunARHsqEWwsCV1qM_HAA0jWtOIOXWUvPruoaLPjEZ3V9zXvuP-8d35gmGq0OInd1DZGGxJnCU0-x07-t1qe_Yivv/s72-w640-c-h360/Guardiola.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/guardiola-asikitika-kinoma-kisa-sare.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/guardiola-asikitika-kinoma-kisa-sare.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy