AZAM FC WABAINISHA NAMNA JAMBO LAO LITAKAVYOTIMIA
HomeMichezo

AZAM FC WABAINISHA NAMNA JAMBO LAO LITAKAVYOTIMIA

  UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado hesabu zao katika kuwania kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwani wana kikosi imara amba...

VITA YA PIRA SPANA V PIRA BURUDANI, UHURU
KOCHA YANGA: SIMBA IONGEZE NGUVU SAFU YA ULINZI KIMATAIFA
MTIBWA SUGAR:TUNAIFUNGA YANGA KWA MKAPA

 


UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado hesabu zao katika kuwania kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwani wana kikosi imara ambacho kinarejea kwenye ubora ule wa awali.

Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina ilianza mzunguko wa kwanza kwa kufanya vizuri ambapo iliongoza ligi mpaka raundi ya 7 kisha hapo mambo yalianza kubadilika taratibu na kuwa kwenye mwendo wa kusuasua.

Kwa sasa ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 28 ina pointi 54, kinara ni Simba mwenye pointi 58 na amecheza jumla ya mechi 24, nafasi ya pili ipo mikononi mwa Yanga wenye pointi 57 baada ya kucheza mechi 27.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa na mechi mkononi pamoja na mipango waliyonayo bado inawapa nafasi ya kuamini kwamba jambo lao linakwenda kutimia.

"Huu ni mchezo wa mpira na inaonesha kwamba mzunguko wa pili ushindani ni mkubwa, ikiwa ipo hivyo basi hakuna namna kusema kwamba hatuna nafasi ya kutimiza jambo letu.

"Ukiwatazama wale wanaoongoza ligi wametuzidi pointi nne na wana mechi mkononi, sawa hilo lipo wazi ila nasi pia bado tuna mechi za kucheza hivyo tukishinda zetu wao wana kazi pia ya kupambana kushinda mechi zao.

"Kwa maana hiyo bado mbio za ubingwa zipo wazi na jambo letu tunaamini kwamba linakwenda kutimia kwa kuwa timu imerejea kwenye ule ubora wa awali," amesema.

Mchezo uliopita Azam FC ilishinda bao 1-0 dhidi ya Azam FC na bao la ushindi lilifungwa na Prince Dube ambaye ni kinara wa utupiaji akiwa na mabao 12 anafuatiwa na Meddie Kagere wa Simba mwenye mabao 11.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC WABAINISHA NAMNA JAMBO LAO LITAKAVYOTIMIA
AZAM FC WABAINISHA NAMNA JAMBO LAO LITAKAVYOTIMIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdgMyui62raMPCEwenZ8TXlQ8hRsy66MqO95THPmJy8TOc2KpafBHG8BLYvvF5_xFmogESlZ7fIRHc0fPxRITt0nsbaSEqaUhSQ4BL5Udx2RuVg5bW2NNOp10nK4dbt1QZmEW9BFFQv6BE/w640-h574/Dube+na+Kibwana.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdgMyui62raMPCEwenZ8TXlQ8hRsy66MqO95THPmJy8TOc2KpafBHG8BLYvvF5_xFmogESlZ7fIRHc0fPxRITt0nsbaSEqaUhSQ4BL5Udx2RuVg5bW2NNOp10nK4dbt1QZmEW9BFFQv6BE/s72-w640-c-h574/Dube+na+Kibwana.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/azam-fc-wabainisha-namna-jambo-lao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/azam-fc-wabainisha-namna-jambo-lao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy