AUBA NA LACAZETTE WA ARSENAL HATIHATI KUIKOSA EVERTON LEO
HomeMichezo

AUBA NA LACAZETTE WA ARSENAL HATIHATI KUIKOSA EVERTON LEO

 KIKOSI cha Arsenal ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta leo kinatarajia kuwakosa nyota wake wawili tegemeo kutokana na sababu m...

VIDEO:GOMES:LAZIMA TUWE TAYARI,AWACHAMBUA WACHEZAJI WAKE
VIDEO: WACHEZAJI TWIGA STARS WAWEKA WAZI KUWA HAIKUWA RAHISI
VIDEO:NAHODHA WA U 20 ABAINISHA KUWA MALENGO YAO NI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

 KIKOSI cha Arsenal ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta leo kinatarajia kuwakosa nyota wake wawili tegemeo kutokana na sababu mbalimbali.

Mchezo wa leo ambao ni wa Ligi Kuu England unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Emirates kwa wababe hao kusaka pointi tatu.

Pierre Aubameyang ambaye ni nahodha huyu anasumbuliwa na Malaria hivyo bado hajawa fiti kwa ajili ya kuendelea kuipambania timu yake licha ya kwamba anaendelea vizuri.

Auba alipata Malaria wakati alipokuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Gabon.

Mwingine ni Alexandre Lacazette mwenye mabao sita ambaye aliumia nyama za paja na huenda akaukosa pia mchezo ujao dhidi ya Villarreal.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AUBA NA LACAZETTE WA ARSENAL HATIHATI KUIKOSA EVERTON LEO
AUBA NA LACAZETTE WA ARSENAL HATIHATI KUIKOSA EVERTON LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-lj2iN7jIw6EwvIAcs3nwSWJJPTmOi3DtqWtbWNbGzqJPdVZVS2Spf0dhJZV8IXoYn1gBFTiAptjxsGKaLShAF6mo_quH1tQfAG4gYBgGWXJNEOJz43Gb8BG_sb54IMpHHQUlqzmkA1Oi/w640-h426/auba+na+laca.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-lj2iN7jIw6EwvIAcs3nwSWJJPTmOi3DtqWtbWNbGzqJPdVZVS2Spf0dhJZV8IXoYn1gBFTiAptjxsGKaLShAF6mo_quH1tQfAG4gYBgGWXJNEOJz43Gb8BG_sb54IMpHHQUlqzmkA1Oi/s72-w640-c-h426/auba+na+laca.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/auba-na-lacazette-wa-arsenal-hatihati.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/auba-na-lacazette-wa-arsenal-hatihati.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy