YANGA YATENGA MECHI ZA UBINGWA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

YANGA YATENGA MECHI ZA UBINGWA LIGI KUU BARA

  UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua mzunguko huu w...

VIDEO: SHABIKI SIMBA ATAMBA KUHUSU KUJAZA UWANJA,AMTAJA MANARA
ARTETA TAMBO KIBAO HUKO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

 UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua mzunguko huu wa pili.

 

Yanga ambayo ilianza mzunguko wa kwanza kwa kasi, iligeuka ghafla mzunguko wa pili ambapo chini ya Kocha Cedric Kaze ambaye amefutwa kazi Machi 7, ilicheza mechi 6 na kuambulia ushindi mara moja, sare nne na kupoteza moja.

 

Mshindo Msolla, Mwenyekiti wa Yanga, amesema baada ya timu hiyo kucheza mechi 12 zijazo za ligi ambapo kwa jumla watakuwa wamecheza mechi 35 msimu huu na kubaki tatu kumaliza ligi, tayari itakuwa imesharejea kwenye reli ya kutwaa ubingwa.

 

“Ikiwa utasema kwa sasa tukate tamaa kuhusu ubingwa hilo sio sawa, baada ya mechi 12 za ligi zitatoa picha ya kile ambacho tunakihitaji, mashabiki wasiwe na mashaka, kila kitu kitakuwa sawa na inawezekana.

 

"Mzunguko wa pili ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kusaka ushindi hivyo kinachotakiwa ni kuzidi kupambana na maandalizi mazuri katika mechi zetu, tunachotakiwa ni kupata matokeo chanya, hakuna jambo lingine.”


Yanga ipo nafasi ya kwanza na imekusanya jumla ya pointi 50 baada ya kucheza mechi 23 msimu wa 2020/21.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATENGA MECHI ZA UBINGWA LIGI KUU BARA
YANGA YATENGA MECHI ZA UBINGWA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-0a_1fJNKooIBSTtMyjCGlLkp4UiUI8ood5X91QutvSN3W271QKL3mkcSjk4et1llztdhaam-TDsSb7qxnkkNFtISHmrCppAM2gISMauYmGmSbalZlSAb6rDY13w3QOJ2rOhcOxqCU_6d/w640-h404/Yanga+2020.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-0a_1fJNKooIBSTtMyjCGlLkp4UiUI8ood5X91QutvSN3W271QKL3mkcSjk4et1llztdhaam-TDsSb7qxnkkNFtISHmrCppAM2gISMauYmGmSbalZlSAb6rDY13w3QOJ2rOhcOxqCU_6d/s72-w640-c-h404/Yanga+2020.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-yatenga-mechi-za-ubingwa-ligi-kuu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-yatenga-mechi-za-ubingwa-ligi-kuu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy