NAMUNGO FC KAMILI GADO KUWAVAA NKANA LEO KWA MKAPA
HomeMichezo

NAMUNGO FC KAMILI GADO KUWAVAA NKANA LEO KWA MKAPA

  HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Nkana FC...


 HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Nkana FC ya Zambia na wanahitaji pointi tatu.

Namungo ipo kundi D, imecheza mechi mbili na kupoteza zote, ilianza kupoteza mbele ya Raja Casablanca bao 1-0 ugenini na ikapoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Pyramids, Uwanja wa Mkapa.

Inakutana na Nkana FC ambayo nayo haijakusanya pointi baada ya kupoteza mechi zake zote mbili kwenye makundi jambo ambalo litaongeza ugumu kwenye mchezo huo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Morocco amesema  kila kitu kipo sawa wanaamini watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa leo.

 “Tumeshindwa kwenye mechi zetu ambazo zmepita tutakuwa nyumbani tutapambana ili kupata matokeo chanya ndani ya uwanja.

“Kiujumla wachezaji wapo sawa na morali yao ni kubwa hivyo mashabiki watupe sapoti na dua zao tunazihitaji,” amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO FC KAMILI GADO KUWAVAA NKANA LEO KWA MKAPA
NAMUNGO FC KAMILI GADO KUWAVAA NKANA LEO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmPdF3Bju8XUk4NaLA-mCY6A4XjU8KbYy3XQ5y4w1NyFhW_fdTTMHdLryqP8gNfl_Fd2bM9xvXVFIozne9l61oJxXTcMZ0XOkeqRe-DI76GU29MzVlqR2unFOYONhFKcaXrqdapDBWP0hU/w640-h472/Namungo+kimata.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmPdF3Bju8XUk4NaLA-mCY6A4XjU8KbYy3XQ5y4w1NyFhW_fdTTMHdLryqP8gNfl_Fd2bM9xvXVFIozne9l61oJxXTcMZ0XOkeqRe-DI76GU29MzVlqR2unFOYONhFKcaXrqdapDBWP0hU/s72-w640-c-h472/Namungo+kimata.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-kamili-gado-kuwavaa-nkana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-kamili-gado-kuwavaa-nkana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy