SIMBA YAMALIZANA NA BEKI KITASA MBADALA WA KAPOMBE
HomeMichezo

SIMBA YAMALIZANA NA BEKI KITASA MBADALA WA KAPOMBE

  ASILIMIA 90, Simba imemalizana rasmi na beki wa kulia wa AS Vita, Mkongomani Djuma Shaban na msimu ujao atavaa jezi zenye rangi ya nyeup...

YANGA YAPANIA KUPINDUA MEZA KIBABE NIGERIA
PSG YATAJWA KUWA DHAIFU NA MESSI WAKE
VIDEO:MZARAMO NA MWAKITALAMO WATUMA UJUMBE YANGA,WAIMBA KWA SHANGWE

 ASILIMIA 90, Simba imemalizana rasmi na beki wa kulia wa AS Vita, Mkongomani Djuma Shaban na msimu ujao atavaa jezi zenye rangi ya nyeupe na nyekundu.

 

Beki huyo ni kati wachezaji walioipa ugumu Simba kupenya kwenye ngome ya Vita huku akisababisha mashambulizi kadhaa kwenye goli la wapinzani wake hao.


Mkongomani huyo alionyesha kiwango hicho katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa Kinshansa, DR Congo ambao ulimalizika kwa Simba kushinda bao 1-0 kwa njia ya penalti lililofungwa na Chris Mugalu.

 

Taarifa zimeeleza kuwa Simba imemalizana rasmi na beki huyo na msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi hicho. Mtoa taarifa huyo kilichobakia kwa beki huyo ni kusaini mkataba pekee baada ya klabu yake kutoa baraka ya kuja kujiunga na Simba.

 

Aliongeza kuwa beki huyo ambaye dau la usajili limefichwa alipendekezwa na kocha mkuu wa timu hiyo, Mfaransa Didier Gomes katika kukiimarisha kikosi chake katika msimu ujao.

 

“Katika kuiimarisha safu yetu ya ulinzi, benchi la ufundi limependekeza kumsajili beki wa kulia wa AS Vita, Djuma atakayekuja kusaidiana na Kapombe (Shomari).


“Viongozi tayari wamelikamilisha hilo kwa kuwafuata mabosi wa Vita kwa ajili ya kumalizana na kwa asilimia 90 limefanikiwa hilo baada ya kufikia muafaka mzuri wa kukubali kumuachia ili msimu ajiunge na timu.

 

"Kocha Gomes ndiye aliyependekeza usajili wake baada ya kuvutiwa naye katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika tuliocheza DR Congo,” alisema mtoa taarifa huyo.


Alipotafutwa Katibu Mkuu wa Simba, Anorld Kashembe kuzungumzia hilo alisema: “Muda wa usajili bado na hivi sasa timu ipo kwenye michuano ya mikubwa ya Afrika, hivyo ni ngumu kuzungumzia masuala ya usajili.


Chanzo: Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAMALIZANA NA BEKI KITASA MBADALA WA KAPOMBE
SIMBA YAMALIZANA NA BEKI KITASA MBADALA WA KAPOMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjR_MGe1b90-b2rYYISCfbXW4UiQ5vyk6FGwagznX8cCCi9-tLtcpABUbxdfCUmZq75AZvXABbw-YMZmbppiTFt8MBcMlyokyoLOHT4fyr-gwOd_wczJzN7_66688GH8s81aN8n_9gc2Snz/w640-h410/Kapombe+Goal.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjR_MGe1b90-b2rYYISCfbXW4UiQ5vyk6FGwagznX8cCCi9-tLtcpABUbxdfCUmZq75AZvXABbw-YMZmbppiTFt8MBcMlyokyoLOHT4fyr-gwOd_wczJzN7_66688GH8s81aN8n_9gc2Snz/s72-w640-c-h410/Kapombe+Goal.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yamalizana-na-beki-kitasa-mbadala.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yamalizana-na-beki-kitasa-mbadala.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy