SAMATTA NA MSUVA KUJIUNGA WIKIENDI, MAZOEZI YANAENDELEA
HomeMichezo

SAMATTA NA MSUVA KUJIUNGA WIKIENDI, MAZOEZI YANAENDELEA

  K OCHA Mkuu wa timu  ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars, Kim Poulsen  amesema licha ya timu  yake kushindwa kupata mchezo  wa kirafiki l...


 KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema licha ya timu yake kushindwa kupata mchezo wa kirafiki lakini anaamini kuwa maandalizi waliyoyafanya yanatosha kuifanya timu hiyo kufanya vyema katika mchezo wao dhidi ya DR Congo.


Tanzania wakiwa ugenini 
wanatarajiwa kucheza mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo utakaofanyika Septemba 2 nchini Congo.


Akizungumza na Championi Ijumaa, kocha Kim alisema kuwa hali ya kikosi chake ipo vizuri japo alihitaji kupata mchezo wa kirafiki jambo ambalo limeshindikana huku akiweka wazi kuwa wana imani ya kufanya vizuri kuelekea mchezo huo.

 

Kocha huyo amesema, wachezaji Saimon Msuva na Mbwana Samatta wataingia kambini wikiendi hii.


“Tumebakiza siku chache kabla ya kwenda Congo kwa ajili ya mechi za Kombe la Dunia, wachezaji wawili wa kimataifa, Simon Msuva na Mbwana Samatta watajiunga kikosini wikiendi hii.

 

“Hali ya kikosi ipo vizuri na wachezaji wameanza mazoezi, nilitamani kuwa na mechi ya kirafiki mwisho wa wiki hii kabla ya kwenda Congo ila imekuwa ngumu hivyo tutaendelea kujiandaa kila wakati kuhakikisha kuwa tunafanya vizuri kuelekea mchezo huo,” alisema kocha huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SAMATTA NA MSUVA KUJIUNGA WIKIENDI, MAZOEZI YANAENDELEA
SAMATTA NA MSUVA KUJIUNGA WIKIENDI, MAZOEZI YANAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW5yhwCsEasVJLKgCCXGAxl50U3whvoEgyB8DgWrmX-4YNm3Z7QTSJskQhaguG4cAoYfGOAM4RpHM-PiQfYqcPNN4N1RtR07tUk-aL_qXuTcGr87zfKfB9FT-dYQhQ5PPTujoaRxM6gX36/w640-h508/240636806_583671452657030_5632915807270581491_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW5yhwCsEasVJLKgCCXGAxl50U3whvoEgyB8DgWrmX-4YNm3Z7QTSJskQhaguG4cAoYfGOAM4RpHM-PiQfYqcPNN4N1RtR07tUk-aL_qXuTcGr87zfKfB9FT-dYQhQ5PPTujoaRxM6gX36/s72-w640-c-h508/240636806_583671452657030_5632915807270581491_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/samatta-na-msuva-kujiunga-wikiendi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/samatta-na-msuva-kujiunga-wikiendi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy