SIMBA: AS VITA HAWATOKI
HomeMichezo

SIMBA: AS VITA HAWATOKI

KIKOSI cha klabu ya Simba kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wao wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita kutokea DR Congo, huku...

Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi
Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
FA Cup: Stoke and Manchester City need late goals, Sheffield United spring shock

KIKOSI cha klabu ya Simba kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wao wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita kutokea DR Congo, huku wakitamba kuwa wanazitaka pointi tatu za mchezo huo.

Aprili 3, mwaka huu Simba inatarajia kuwavaa AS Vita katika mchezo wao wa tano wa hatua ya makundi utakaopigwa kwenye uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam.

Simba inaongoza msimamo wa kundi A, ambapo mpaka sasa wamekusanya pointi 10 baada ya kucheza michezo minne, wakishinda michezo mitatu na kutoa sare mchezo mmoja.

Simba inahitaji pointi moja tu katika michezo miwili iliyobaki ili kuweza kufuzu hatua ya robo fainali, lakini matokeo ya ushindi yatawafanya wawe katika nafasi nzuri ya kumaliza vinara wa kundi hilo.

Akizungumzia mipango yao, Meneja wa kikosi cha klabu ya Simba, Patrick Rweyemamu alisema: “Kikosi cha wachezaji wetu ambao hawajajumuishwa katika vikosi vya timu za taifa, kinaendelea na mazoezi kila siku chini ya kocha mkuu Didier Gomes.

“Tunajua ugumu na umuhimu wa kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huu, mpaka sasa hakuna mchezaji yeyote aliye na majeraha hivyo tunachosubiri ni kurejea kwa sehemu ya wachezaji wetu walio kwenye vikosi vya timu ili kocha afanye maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo huo ambao ni wazi tunahitaji ushindi,"



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA: AS VITA HAWATOKI
SIMBA: AS VITA HAWATOKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgct474hWf0ELPRaPwp1wU27FtyVpPD8LwrenufSEUAufAYf4jkn7L490hv0BGykDSOR5F-TGaCZRo4uEHlNUcTIcxdLMuEZZHJI4OzJ0wFGK0g9QbnCvfRLMesL_APEJVln3A69z09X3o/w640-h428/MIQUE+CHAMA.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgct474hWf0ELPRaPwp1wU27FtyVpPD8LwrenufSEUAufAYf4jkn7L490hv0BGykDSOR5F-TGaCZRo4uEHlNUcTIcxdLMuEZZHJI4OzJ0wFGK0g9QbnCvfRLMesL_APEJVln3A69z09X3o/s72-w640-c-h428/MIQUE+CHAMA.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-as-vita-hawatoki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-as-vita-hawatoki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy