Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
HomeMichezo

Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup

    Kikosi cha Yanga ya Dar es Salaam Timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam hapo jana ilifan...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
LUKAKU NA ZLATAN YAWAKUTA, WAPIGWA PINI ITALIA
MORRISON AWEKA REKODI TATU KWA MKAPA KAMA NAMBA YA JEZI
   
Kikosi cha Yanga ya Dar es Salaam
Timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam hapo jana ilifanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi huko Visiwani Zanzibar baada ya kuitandika Polisi ya Zanzibar mabao 4-0 kwenye Mechi ya Kundi A.

Ushindi huu ni wa pili kwa Yanga kwenye Kundi lao baada ya kuichapa Taifa ya Jang’ombe magoli 4-0 katika Mechi yao ya kwanza na sasa wanaongoza Kundi A wakiwa na alama 6.
Hadi Mapumziko Yanga walikuwa mbele kwa mabao 2-0 ya Mchezaji wa Brazil Coutinho na yule wa Liberia Kpah Sherman.

Kipindi cha Pili Yanga walipiga Bao nyingine 2 kupitia Coutinho na Simon Msuva.
Katika Mechi nyingine zilizopigwa Jana Usiku, Azam FC iliichapa KMKM Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi B na kupata ushindi wao wa kwanza baada ya kutoka 2-2 na KCCA ya Uganda katika Mechi yao ya kwanza.

Huku nao mabingwa wa kombe hilo Timu ya KCCA ya uganda wakifanikiwa kusonga mbele baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Timu ya Mtende ya Zanzibar

Mashindano hayo yanaendelea tena leo huko Visiwani Zanzibar kwa Mechi mbili katika uwanja wa Amani,Mechi ya kwanza ni kati ya Mtibwa Sugar na Mafunzo ikifuafuatiwa na mechi ya Simba dhidi ya Timu ya JKU
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/05/150105110451_yanga_tanzania_304x171_bbc_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/yanga-yachanja-mbuga-mapinduzi-cup.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/yanga-yachanja-mbuga-mapinduzi-cup.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy