Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi
HomeMichezoKimataifa

Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi

    Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amemuomba radh...

Copa del Rey: Fernando Torres double sends Atletico through after aggregate win over Real Madrid
Boko Haram Appears to Be Using Abducted Girls as Suicide Bombers: Experts
Mashambulizi ya Boko Haram ni ya ukatili dhidi ya binadamu
   
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho
Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amemuomba radhi mwamuzi Kevin Friend baada ya kumkosoa kwa kuwanyima penati katika mchezo wa Kombe la FA ambao walishinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Watford jana.

Mourinho alidai kuwa uamuzi wa kunyimwa penati baada ya Craig Cathcart kushika mpira uliopigwa na Diego Costa kuwa ni sehemu ya kampeni za kuikandamiza timu yake.

Lakini baadae Mourinho alibadili kauli yake na kumpongeza mwamuzi huyo kwa kuchezesha vyema.
Mwamuzi huyo alifafanua uamuzi wake kuwa aliwanyima penati Chelsea kwani mshambuliaji huyo alifunga bao pamoja na mpira kushikwa na kama ingetokea bao kutofungwa angekuwa hana jinsi bali kutoa penati
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi
Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/11/141211112134_mourinho_304x171__nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/mourinho-aomba-radhi-kumkosoa-mwamuzi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/mourinho-aomba-radhi-kumkosoa-mwamuzi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy