NAMUNGO: TUKO TAYARI KUUWASHA MOTO SHINYANGA
HomeMichezo

NAMUNGO: TUKO TAYARI KUUWASHA MOTO SHINYANGA

KIKOSI cha klabu ya Namungo kimetamba kujipanga vizuri kwa ajili ya kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya M...

Picha: Veterans wa Barcelona wainyuka Tanzania Uwanja wa Taifa
Tanzania mdomoni mwa Misri, Nigeria na Chad AFCON 2017 Katika kombe la mataiafa ya Afrika>>>Angalia ratiba nzima hapa
Unaipa nafasi gani Tanzania kwenye michezo ya kufuzu CHAN 2016?


KIKOSI cha klabu ya Namungo kimetamba kujipanga vizuri kwa ajili ya kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Mwadui.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Mwadui Complex, mkoani Shinyanga majira ya saa nane kamili mchana. 

Namungo wametamba kuwa, ushindi wa bao 1-0 walioupata siku ya Jumapili dhidi ya Mbeya City, katika michuano ya kombe la Shirikisho umezidi kuamsha ari ya kuhakikisha wanashinda mchezo wa leo. 

Akizungumzia maandalizi yao kuelekea mchezo huo, Ofisa habari wa Namungo, Kindama Namlia amesema: “Kikosi chetu kiliwasili salama mkoani Shinyanga jana kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wetu dhidi ya kikosi cha Mwadui.

“Ushindi tulioupata katika mchezo uliopita dhidi ya Mbeya City kwenye michuano ya kombe la FA, umezidi kutupa ari ya kufanya vizuri kwenye mchezo huu wa Ligi Kuu,"




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO: TUKO TAYARI KUUWASHA MOTO SHINYANGA
NAMUNGO: TUKO TAYARI KUUWASHA MOTO SHINYANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2JsYV_NiIo2dY9WhZtlYF4yRB5103WLoasc7-rht-ZaTg4xkWqakYdaFAzSzr-I7RK64XauhhaIHxwS0PZftfHNZl7619XoCJ_KRruFbTYWdih3bptnL7AAVDSzF0cRUCvcmADpZCKh4/w498-h640/namuu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2JsYV_NiIo2dY9WhZtlYF4yRB5103WLoasc7-rht-ZaTg4xkWqakYdaFAzSzr-I7RK64XauhhaIHxwS0PZftfHNZl7619XoCJ_KRruFbTYWdih3bptnL7AAVDSzF0cRUCvcmADpZCKh4/s72-w498-c-h640/namuu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/namungo-tuko-tayari-kuuwasha-moto.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/namungo-tuko-tayari-kuuwasha-moto.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy