MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA
HomeMichezo

MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA

 NYOTA wa kikosi cha Mtibwa Sugar, Jaffary Kibaya amesema kuwa watapambana kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kupata matokeo chanya. Kw...


 NYOTA wa kikosi cha Mtibwa Sugar, Jaffary Kibaya amesema kuwa watapambana kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kupata matokeo chanya.

Kwa sasa Mtibwa Sugar imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zao za ligi.

Kwenye msimamo wa ligi ipo nafasi ya 16 ikiwa imecheza jumla ya mechi 27 imekusanya jumla ya pointi 28 ipo kwenye mstari wa kushuka daraja.

Nyota huyo amesema:"Tunajua kwamba tupo kwenye mwendo mbaya ila tutapambana ili kupata matokeo kwenye mechi zetu ambazo zimebaki ili tusishuke daraja.

"Ushindani ni mkubwa nasi pia tunapambana ili kufanya vizuri, mashabiki watupe sapoti," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA
MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFER3hMxDBveGO2FdbjR12exKQ7iMvLsxOXLpAB4dxaGhbyJ7uCdOXxHBYXNv6qTyUcuGzBstMhGZt4MKLJQTS9fBuW6im2D5GHb6bK7sm6jO3l55oqWcFKw04OAUTbQtmObrRE1edym3C/w640-h556/kIBAYA.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFER3hMxDBveGO2FdbjR12exKQ7iMvLsxOXLpAB4dxaGhbyJ7uCdOXxHBYXNv6qTyUcuGzBstMhGZt4MKLJQTS9fBuW6im2D5GHb6bK7sm6jO3l55oqWcFKw04OAUTbQtmObrRE1edym3C/s72-w640-c-h556/kIBAYA.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mtibwa-sugar-yagomea-kushuka-daraja.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mtibwa-sugar-yagomea-kushuka-daraja.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy