GOMES WA SIMBA BADO ANAIFIKIRIA YANGA
HomeMichezo

GOMES WA SIMBA BADO ANAIFIKIRIA YANGA

  KOCHA Mkuu wa Simba raia wa Ufaransa, Didier Gomes, amesema anafahamu ugumu umeongezeka wa Ligi Kuu Bara, lakini hataki iwe sababu ya ku...

JKT TANZANIA YAIPIGA MKWARA SIMBA
AZAM FC YATUMA UJUMBE KWA MABINGWA WATETEZI SIMBA
DISMAS TEN WA YANGA AMTAJA HAJI MANARA WA SIMBA KUWA MSEMAJI BORA

 KOCHA Mkuu wa Simba raia wa Ufaransa, Didier Gomes, amesema anafahamu ugumu umeongezeka wa Ligi Kuu Bara, lakini hataki iwe sababu ya kupata matokeo mabaya na badala yake wachezaji wanatakiwa kuhakikisha wanatimiza majukumu yao ili wawaondoe Yanga kileleni.

 

Kikosi cha Simba kipo nafasi ya pili na pointi 46, kililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa.


Prisons walimtungua Aishi Manula kupitia kwa Salum Kimenya kwa mpira wa faulo nje kidogo ya 18 na Simba walimtungua Jeremiah Kisubi kwa kichwa cha Luis Miquissone.

 

 Gomes amesema matokeo ya ushindi katika kila mchezo kwao ni muhimu, hivyo ni lazima vijana wake wapambane kuhakikisha wanatimiza malengo ya kubeba ubingwa wa ligi na Kombe la FA.

 

Gomes amesema kuwa ana imani kubwa na ubora wa kikosi chake ambacho kinaundwa na wachezaji wengi wenye viwango bora.


“Mchezo wetu uliopita wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh washambuliaji wangu walikosa umakini uliosababisha tutoke suluhu.

 

"Sitaki kuona makosa yakijirudia, tayari nimekaa na wachezaji wangu na kuwaambia nafasi moja haiwezi kujirudia mara mbili, hivyo kila nafasi tutakayoipata lazima tuitumie vizuri kwa kufunga mabao.

 

"Nafahamu ugumu wa ligi umeongezeka katika mzunguko wa pili, lakini hiyo haiwezi kutufanya tupoteze michezo yetu, kikubwa ninahitaji ushindi pekee ili tuwaondoe walio juu yetu katika msimamo,” amesema Gomes.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES WA SIMBA BADO ANAIFIKIRIA YANGA
GOMES WA SIMBA BADO ANAIFIKIRIA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSo77rVu11ZHRuil6s3wM9i9C1cyQgUsDKjN79h3V707u32HqrPAhMVYRtVG2PCzToKHlSVJeVhjjbZnLU-SAkBungA8yUNaZy6eSGdXsOK2J1iy_owm9F0DaOfSva9e0U0dXSVSDuIa3P/w640-h436/Luis+v+Prisons.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSo77rVu11ZHRuil6s3wM9i9C1cyQgUsDKjN79h3V707u32HqrPAhMVYRtVG2PCzToKHlSVJeVhjjbZnLU-SAkBungA8yUNaZy6eSGdXsOK2J1iy_owm9F0DaOfSva9e0U0dXSVSDuIa3P/s72-w640-c-h436/Luis+v+Prisons.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gomes-wa-simba-bado-anaifikiria-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gomes-wa-simba-bado-anaifikiria-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy