FC PLATINUM WAINGIA ANGA ZA SIMBA WAMTAKA LUIS
HomeMichezo

FC PLATINUM WAINGIA ANGA ZA SIMBA WAMTAKA LUIS

  DENZIL Mkandla, meneja wa wachezaji wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa mpango mkubwa wa kwanza katika usajili ni kupata s...

SIMBA WAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA
MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII
NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU

 


DENZIL Mkandla, meneja wa wachezaji wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa mpango mkubwa wa kwanza katika usajili ni kupata saini ya Luis Miquissone anayekipiga ndani ya Simba.


Mkandla ameweka wazi kuwa Luis ni mchezaji wa kipekee ndani ya uwanja kwa kuwa anaonyesha kiwango cha hali ya juu muda wote.


FC Platinum ilitolewa na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kukubali kichapo cha mabao 4-0 Uwanja wa Mkapa ila ule mchezo wa Kwanza, Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe ilishinda bao 1-0.


Mfungaji wa bao la FC Platinum,  Perfect Chikwende kwa sasa yupo ndani ya Simba akiwa ni maalumu kwa michezo ya ndani ambapo ameshaanza kucheza mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Mkandla amesema:"Sisi tuna wachezaji wazuri na wanafanya kazi nzuri ndani ya uwanja, ila kwa pale Simba mchezaji ambaye ni chaguo letu la kwanza kumpa dili ni Luis kwani ana uwezo na kasi,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FC PLATINUM WAINGIA ANGA ZA SIMBA WAMTAKA LUIS
FC PLATINUM WAINGIA ANGA ZA SIMBA WAMTAKA LUIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEZfvhJe_FeX7ivFJDi1ZAwC73WnHMjAqOdt2uUx9rRV2n5dGxh4wS68ai-WW7jiBgAaIGgk26xjhYo9GshmVU2g18MgvZhBNOp5DHY2STmkUJkJRJ_2rDXaFc6LF_g8BR4CR5hQDKVc4j/w640-h428/IMG_20210301_080321_098.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEZfvhJe_FeX7ivFJDi1ZAwC73WnHMjAqOdt2uUx9rRV2n5dGxh4wS68ai-WW7jiBgAaIGgk26xjhYo9GshmVU2g18MgvZhBNOp5DHY2STmkUJkJRJ_2rDXaFc6LF_g8BR4CR5hQDKVc4j/s72-w640-c-h428/IMG_20210301_080321_098.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/fc-platinum-waingia-anga-za-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/fc-platinum-waingia-anga-za-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy