BAADA YA KUMALIZANA NA WAGOSI WA KAYA SASA YANGA MIKONONI MWA POLISI
HomeMichezo

BAADA YA KUMALIZANA NA WAGOSI WA KAYA SASA YANGA MIKONONI MWA POLISI

 BAADA ya kikosi cha Yanga kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Machi 4, nguvu kubwa zimeel...

MATAIFA KUENDELEA NA MCHAKATO WA KUELEKEA QATAR.
SIMBA YATAMBA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
MABOSI YANGA WANA IMANI KUBWA NA NABI,WAMPA MUDA

 BAADA ya kikosi cha Yanga kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Machi 4, nguvu kubwa zimeelekezwa kwenye mchezo wa kesho, Machi 7.

Coastal Union ya Tanga maarufu kama Wagosi wa Kaya inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imekuwa ni timu ya kwanza kushinda mbele ya Yanga ambayo ilicheza mechi 21 bila kupoteza.

Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi zake 49 baada ya kucheza mechi 22 kesho itakaribishwa na Polisi Tanzania, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Utachezwa majira ya saa 10:00 ambapo timu zote mbili zina kazi ya kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.

Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwa kurekebisha makosa ambayo yametokea kwenye mechi zao za nyuma.

"Makosa ambayo yametokea kwenye mechi za nyuma tunayafanyia kazi ili kuweza kuwa bora zaidi, kikubwa ni kwamba kila mmoja anahitaji kuona matokeo hata sisi pia tunahitaji kufanya vizuri.

"Mashabiki wazidi kutupa sapoti tunaamini kwamba tutakuwa vizuri na kila kitu kitakuwa sawa hakuna haja ya kukata tamaa," amesema.

Wapinzani wao Polisi Tanzania kwenye msimamo wapo nafasi ya 8 na pointi zake ni 28.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAADA YA KUMALIZANA NA WAGOSI WA KAYA SASA YANGA MIKONONI MWA POLISI
BAADA YA KUMALIZANA NA WAGOSI WA KAYA SASA YANGA MIKONONI MWA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeIxiDnlmN-rzqafRiW7r5Ii0x6RMvivBlwsHsPa3e5WftwBF9H2-uwY96yfDMPrJ4KOm1YQJ0qvXXoj77y9tPFAW_lQm7eaVYJadpI7uHV1e09LIOfggCDQ_roZ8xMrCH1aOHhXO5tS4l/w640-h446/Mashabiki+Tanga.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeIxiDnlmN-rzqafRiW7r5Ii0x6RMvivBlwsHsPa3e5WftwBF9H2-uwY96yfDMPrJ4KOm1YQJ0qvXXoj77y9tPFAW_lQm7eaVYJadpI7uHV1e09LIOfggCDQ_roZ8xMrCH1aOHhXO5tS4l/s72-w640-c-h446/Mashabiki+Tanga.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/baada-ya-kumalizana-na-wagosi-wa-kaya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/baada-ya-kumalizana-na-wagosi-wa-kaya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy