AZAM FC KAMILI GADO, YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
HomeMichezo

AZAM FC KAMILI GADO, YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR

 VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa leo dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mgumu ila wapo ta...

HIVI NDIVYO NAMNA YANGA ITAKAVYOWAVUA UBINGWA SIMBA
IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA
MORRISON ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa leo dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mgumu ila wapo tayari kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu.

Ikiwa imejichimbia nafasi ya tatu na pointi zake ni 37 inakutana na Kagera Sugar ambayo ipo nafasi ya 10 na pointi zake kibindoni ni 24 na zote zimecheza jumla ya mechi 21.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Aam Complex, Azam FC ilishinda kwa mabao 4-2 na ulikuwa ni mchezo wa kwanza kukusanya mabao mengi ndani ya uwanja kwa mzunguko wa kwanza kabla ya ule  wa Coastal Union 0-7 Simba.

Vivier amesema:"Tunatambua kwamba utakuwa mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa kwa sababu tunacheza na timu bora na imara.

"Hivyo tutajitahidi kucheza katika ubora wa hali ya juu ili kupata matokeo chanya, mashabiki watupe sapoti katika hili".

Mecky Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa amewaambia vijana wake wafanye kazi ya kusaka pointi tatu hivyo mashabiki wajitokeze kuwapa sapoti ndani ya Kaitaba.

Mabao hayo mawili ambayo Kagera Sugar walifunga walimtungua kipa namba moja David Kissu ambapo kwa sasa amekuwa akisugua benchi na nafasi yake ipo mikononi mwa Martin Kigonya.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KAMILI GADO, YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
AZAM FC KAMILI GADO, YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHoYWxmscENqaf_0auEXzr6CRevQZ86XO1RshRZfRnX0E23QvRAzniBeZIH6oQUsJztSL45s4TGcnSyUp1p09s9NSd3iw7ugDaX7SehJ4LWedYUJDYtKZu3PEECT0ifs49KtiUSO4pn0cT/w626-h640/Kigonya+tena.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHoYWxmscENqaf_0auEXzr6CRevQZ86XO1RshRZfRnX0E23QvRAzniBeZIH6oQUsJztSL45s4TGcnSyUp1p09s9NSd3iw7ugDaX7SehJ4LWedYUJDYtKZu3PEECT0ifs49KtiUSO4pn0cT/s72-w626-c-h640/Kigonya+tena.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-kamili-gado-yazitaka-pointi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-kamili-gado-yazitaka-pointi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy