IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA
HomeMichezo

IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA

 KOCHA Frolentine Ibenge ameachana na Klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi akithibitisha. “Ndugu mashabiki, ninatangaza kuo...


 KOCHA Frolentine Ibenge ameachana na Klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi akithibitisha.

“Ndugu mashabiki, ninatangaza kuondoka kwa kocha wetu Jean Florent. Kwa niaba ya Klabu ya AS Vita, tunamshukuru kwa utumishi wake na tunamtakia kila la kheri.” – Bestine, Rais AS Vita.


Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa AS Vita wameandika kwamba wanashukuru kwa huduma ya kocha huyo.


Ibenge ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Congo alikuwa anatajwa kujiunga na Simba baada ya Sven Vandenbroeck kubwaga manyanga ila kwa sasa timu ipo mikononi mwa Didier Gomes.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA
IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9OlDRHaoMqOdRwbxhgsWxhF_NfWV2-H1LiNEVNLq9NAsL5UxdIERfJMxYFP__ZNI7jsKAY16SV0Gu-Cmj2STR8C_PsyG4XMcXGBERXtscU8cPsOUd6sUi_1lphu4cTEZjSWwZDSwoFh0j/w640-h372/Ibenge.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9OlDRHaoMqOdRwbxhgsWxhF_NfWV2-H1LiNEVNLq9NAsL5UxdIERfJMxYFP__ZNI7jsKAY16SV0Gu-Cmj2STR8C_PsyG4XMcXGBERXtscU8cPsOUd6sUi_1lphu4cTEZjSWwZDSwoFh0j/s72-w640-c-h372/Ibenge.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ibenge-aliyekuwa-anatajwa-kuibukia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ibenge-aliyekuwa-anatajwa-kuibukia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy