MORRISON ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA
HomeMichezo

MORRISON ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

NYOTA wa Simba Bernard Morrison, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Mo...

TFF YATOA TAMKO ISHU YA KUONGEZA MUDA DIRISHA LA USAJILI
VIDEO: HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, WIKI YA MWANANCHI
MUDA WA KUANZA KUPATA HASIRA UPO KWENYE KONA KWA SASA

NYOTA wa Simba Bernard Morrison, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).

 

Morrison raia wa Ghana amewashinda nyota wawili nahodha John Bocco na Luis Miqiussone ambao aliingia nao fainali ya kinyan’ganyiro hicho.

 

Mchakato wa tuzo hiyo unahusisha mashabiki ambao ndiyo wenye dhamana ya kupiga kura kupitia tovuti rasmi ya klabu baada ya Kamati Maalumu kuchuja majina matatu kutoka matano ya awali.


Moja ya tukio kubwa alilofanya Morrison katika mwezi huo ni lile la kuanzisha mpira kwa haraka na kutoa pasi iliyozaa bao lililofungwa na Luis na kuipeleka fainali ya Azam Sports Federation Cup katika Uwanja Majimaji, Juni 26 mwaka huu.

 

Morrison atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium Profile ambao walianza kutoa tuzo hiyo tangu Februari mwaka huu.

Mchanganuo wa kura

Idadi ya kura zilizopigwa 9,356

Morrison amepata kura 6,697 sawa na asilimia 72.

Luis amepata kura 1,978 sawa na asilimia 21.

Bocco kura 681 sawa na asilimia saba.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MORRISON ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA
MORRISON ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTsn-w0DlO4wwmNQ-8eiMvfgvmcgHQiPlXc09LOG1cZG66Pe-TVQkl1kdB7Km6bVMqalXuNgiR9S2WvQmA7tASXfxre7fFJNwVd43Q8EqzLo9ebAPOMcuYb3U26TrLYcR3W4-7zFRU-5Ky/w640-h640/Bm+sasa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTsn-w0DlO4wwmNQ-8eiMvfgvmcgHQiPlXc09LOG1cZG66Pe-TVQkl1kdB7Km6bVMqalXuNgiR9S2WvQmA7tASXfxre7fFJNwVd43Q8EqzLo9ebAPOMcuYb3U26TrLYcR3W4-7zFRU-5Ky/s72-w640-c-h640/Bm+sasa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/morrison-asepa-na-tuzo-ya-mchezaji-bora.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/morrison-asepa-na-tuzo-ya-mchezaji-bora.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy