WAPINZANI WA SIMBA WANYOOSHWA KIMATAIFA KLABU BINGWA NA LEWANDOWSKI
HomeMichezo

WAPINZANI WA SIMBA WANYOOSHWA KIMATAIFA KLABU BINGWA NA LEWANDOWSKI

  KWENYE mchezo wa Klabu Bingwa hatua ya nusu fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo Klabu ya Al Ahly ya Misri ambayo ipo kundi moja na...

EPL, SERIE A NA LALIGA NI MWENDO MDUNDO
UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
SOLSKJAER AFAFANUA SABABU YA MABADILIKO

 


KWENYE mchezo wa Klabu Bingwa hatua ya nusu fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo Klabu ya Al Ahly ya Misri ambayo ipo kundi moja na Klabu ya Simba ya Tanzania imepoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Bayern Munich. 

Mabao ya Bayern Munich ambayo imetinga hatua ya fainali yalifungwa na mshambuliaji wao bora Robert Lewandowski dakika ya 17 na 85 na kuipeleka timu yake hatua ya fainali.


Wakiwa Uwanja wa Al Rayyan wapinzani hao wa Simba waliopo pamoja kwenye kundi A, waliweza kupiga jumla ya mashuti 5 huku Bayern Munich wakipiga jumla ya mashuti 24 ambapo ni mashuti 7 yalilenga lango huku kwa Al Ahly yalilenga lango mashuti mawili.


Upande wa umiliki wa mpira, Al Ahly ilikuwa na asilimia 31 huku Munich ikiwa na asilimia 69 hivyo Simba ina kazi ya kufanya itakapokutana na wapinzani hawa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, Februari 23, Uwanja wa Mkapa.

Bayern Munich itacheza fainali ya Klabu Bingwa Duniani dhidi ya Club Tigres UANL ya Mexico, Februari 11,2020 huku Al Ahly ya Misri ikitarajiwa kucheza mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu dhidi RSB Berkane, Februari 17.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WAPINZANI WA SIMBA WANYOOSHWA KIMATAIFA KLABU BINGWA NA LEWANDOWSKI
WAPINZANI WA SIMBA WANYOOSHWA KIMATAIFA KLABU BINGWA NA LEWANDOWSKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjl8s0EQSvy-fCCH4796ihLTuU21bXYMPJXB2Xi2g8kCVR64-_QrYDaucvRwJCszTmlOU5dGF6-8Uvlx8VLBrfYsxnN1j99QXI2pbUs19dZeWRq-1gORECpSZr5H58fgxGy5W8Pgb6d57Bt/w640-h640/IMG_20210209_081154_446.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjl8s0EQSvy-fCCH4796ihLTuU21bXYMPJXB2Xi2g8kCVR64-_QrYDaucvRwJCszTmlOU5dGF6-8Uvlx8VLBrfYsxnN1j99QXI2pbUs19dZeWRq-1gORECpSZr5H58fgxGy5W8Pgb6d57Bt/s72-w640-c-h640/IMG_20210209_081154_446.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/wapinzani-wa-simba-wanyooshwa-kimataifa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/wapinzani-wa-simba-wanyooshwa-kimataifa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy