KESHO NI VITA YA PASI NA MBINU
HomeMichezo

KESHO NI VITA YA PASI NA MBINU

  KESHO Jumapili,  Arsenal ya Mikel Arteta itawakaribisha Manchester City iliyo chini ya Pep Guardiola kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ...

 


KESHO Jumapili,  Arsenal ya Mikel Arteta itawakaribisha Manchester City iliyo chini ya Pep Guardiola kwenye mchezo wa Ligi Kuu England utakaochezwa Uwanja wa Emirates ikitajwa kuwa ni vita ya pasi na mbinu ndani ya uwanja.

Kwa sasa Ligi Kuu England imekuwa na ushindani mkubwa hivyo jambo lolote linaweza kutokea kwa miamba hii itakapokutana ndani ya uwanja.

City ipo nafasi ya kwanza na pointi 56, imeweka rekodi ya kushinda mechi 12 zilizopita ndani ya Premier League anakutana na Arsenal iliyo nafasi ya 10 ikiwa inapambana kurudi ndani ya top six.

Manchester City inaonekana kucheza mpira wa pasi nyingi sawa na Arsenal ambapo jumla City imepiga pasi 15,665 na Arsenal imepiga jumla ya pasi 12,434.


Rekodi zinaonyesha kuwa wababe hawa ndani ya Premier League wamekutana mara 47, Arsenal imeshinda jumla ya mechi 23 na City mara 14 huku zikikusanywa sare 10.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KESHO NI VITA YA PASI NA MBINU
KESHO NI VITA YA PASI NA MBINU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQHfYr9NFxBCkwVF8c7rntzE_bMNNmNJA5WXYzaBtNSI_CaK1H7n362NoDWMRGtmN4NruSXaIU_p1PWsuFp4A_B9_3SXJrlouC4agFZ6UcsXdv4DXZnIEpjxh-OnW0kNr41gwlH0I5LSlf/w626-h640/IMG_20210220_100314_005.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQHfYr9NFxBCkwVF8c7rntzE_bMNNmNJA5WXYzaBtNSI_CaK1H7n362NoDWMRGtmN4NruSXaIU_p1PWsuFp4A_B9_3SXJrlouC4agFZ6UcsXdv4DXZnIEpjxh-OnW0kNr41gwlH0I5LSlf/s72-w626-c-h640/IMG_20210220_100314_005.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kesho-ni-vita-ya-pasi-na-mbinu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kesho-ni-vita-ya-pasi-na-mbinu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy