KOCHA MPYA BIASHARA UNITED AANZA KAZI
HomeMichezo

KOCHA MPYA BIASHARA UNITED AANZA KAZI

  PATRICK Odhiambo Okumu, raia wa Kenya ambaye amepewa mikoba ya Francis Baraza kuinoa Klabu ya Biashara United amesema kuwa yupo tayari ...

GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI
BRUNO FERNANDES AELEZA HALI ZA WACHEZAJ ZILIVYOKUWA BAADA YA KUPIGWA 4G
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 


PATRICK Odhiambo Okumu, raia wa Kenya ambaye amepewa mikoba ya Francis Baraza kuinoa Klabu ya Biashara United amesema kuwa yupo tayari kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake Mara.

Baada ya kutambulishwa tayari jana, Mei 5 alianza kukinoa kikosi hicho ambacho kinajiandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji.

Okumu ambaye ni maarufu kwa jina la Patto amewahi kufundisha Gor Mahia FC, Kakamega FC pamoja na Kakamega FC ambapo kote huko alikuwa ni Kocha Msaidizi.

Mei 4 alitambulishwa rasmi na uongozi wa Biashara United iliyo nafasi ya 4 na pointi 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 28.

Kocha huyo amesema:"Nipo tayari kwa ajili ya kufanya kazi na Biashara United, naamini kwamba ushindani ni mkubwa ila hakuna mashaka kwa kuwa ni muhimu kuwa na ushirikiano katika utendaji wetu,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA MPYA BIASHARA UNITED AANZA KAZI
KOCHA MPYA BIASHARA UNITED AANZA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguzMNpQTZKGNVHqaBo3iq0Rtd0DJnB80i9I5Vn2a-FfqCbSpmksIXm3WxvHP26TSAb2M4fQeb8YOEKqS0Q92ZGfveSiW-FSytaVcjJB29wlbxBmdTi9izeHrpt4_5LMSJLhKqPhGV-1dlv/w630-h640/Screenshot_20210506-061047_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguzMNpQTZKGNVHqaBo3iq0Rtd0DJnB80i9I5Vn2a-FfqCbSpmksIXm3WxvHP26TSAb2M4fQeb8YOEKqS0Q92ZGfveSiW-FSytaVcjJB29wlbxBmdTi9izeHrpt4_5LMSJLhKqPhGV-1dlv/s72-w630-c-h640/Screenshot_20210506-061047_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kocha-mpya-biashara-united-aanza-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kocha-mpya-biashara-united-aanza-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy